You are right. Pia kuishi maisha ya dhambi huharibu sana kinga ya kiroho (nguvu ya Mungu) ktk maisha ya mtu.Huku unawekewa mkono wenye unabii bandia, mkono wenye nguvu za kichawi, mkono wa kuzimu unachukua kinga yako halisi na kukuachia bandia
Unaenda kule unapewa kitambaa chenye upako feki unakitumia huku tayari una nguvu ile nyingine
Mara unaenda kupewa kichupa cha maji ya baraka, mara maombezi ya usiku kucha, unaichosha roho yako kwa kukaribisha wageni wane tofauti ambao kila mmoja anataka kukumiliki kiroho
Yan mshana anazeeka ,,anaandika kifup fup sana atushushie uzi atueleze kaa kinaMkuu hebu lifungulie uzi wake pamoja na mifano kadhaa,utupe darsa maridhawa.
Duh hata ww ,, si usiku unaingia tu mahal unachota unasepa zakoVyuma vimekaza ndugu yangu inabidi ushike huku na huku
Kwa usawa huu mm naona sawaZile hazinaga maendeleo zina laana kwakuwa umezipata kirahisi tena kupitia njia haramu
....... kuna mambo ya msingi sana yameongelewa humu, thanks mhenga mwenzangu' Mshana jr kwa darsa adimu.mshanaaa....nakujua sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Heri wao waliofunuliwa na kuiona ile kweli kwakuwa hawakutazama tu bali wameona pia, hawakusikia tu bali wameelewa pia![]()
![]()
![]()
usihukumu usije ukahukumiwa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()