Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

ukweli unauma.....

Nyelele arikuwa mtu mzuli sana, wakati wa Nyelele aliimalisha sana hari ya watu wake kierimu na rishe bola, vyakura kama mahalage

mchere, sukali, virikuwa vikipatikana kira kona ya Jamhuli ya Tanzania

Hivi Kiswahili siku hizi kimekuwa kigumu hivi?
 
Sasa mbona tunaopinga sensa tumetoa takwimu huko huko wikipedia?


Wikipedia has never been a reliable source of reference. Any student who quotes Wikipedia is doomed. At most you should use Wikipedia to search for more materials in the reference list or in any other reliable source.
 
Ni upotoshaji wa kiwango cha juu na sijui kwa nini watu mnaendelea kuijadili kwa sababu mwaka 1962 Julius Nyerere hakuwa madarakani.

Alijiuzuru u-Prime Minister January 22, 1962 yaani siku 22 tu baada ya kuuanza mwaka, akabaki kama mbunge tu hadi aliapishwa kuwa Rais wa Tanganyika December 09, 1962 yaani zikiwa zimebaki siku 23 kabla ya kuumaliza mwaka.

Hivyo, jumla ya siku alizokuwa madarakani mwaka huo ni 22+23=45. Hivyo (45/365)x100%=9.59%. Hivyo alitumia asilimia 9.59% tu ya muda wa mwaka huo kuwa madarakani.

Kuhusu Wikipedia, binafsi nimeiamini sana siku za mwanzo, lakini baada ya mimi kuweza ku-edit post kadhaa kwenye wikipedia nikaondoa imani ya kuitegemea sana kwani kama mimi nimeweza basi kila mmoja anaweza hata anayesema uongo.

Kinachosaidid kwenye Wikipedia ni kwamba uongo ni rahisi kutambulika na kurekebishwa haraka. Lakini mimi binafsi tangu wakati huo, Wikipedia naiweka kama second priority na ndiyo maana ninategemea sana vitabu na publications nyingi maana huko mtu anakuwa responsible na anachoandika.
 
I knew Babu very well and we met often after his release in 1977. Babu was glad he was detained on the mainland and not returned to Zanzibar where he would have faced certain death.

Mimi nilidhani Jasusi ni kijana kama sisi wengine, kumbe mwenzetu wakati unakutana na Babu ndiyo wengine tunazaliwa, au kunyonya au kulelewa!
 
ukweli unauma.....

Nyelele arikuwa mtu mzuli sana, wakati wa Nyelele aliimalisha sana hari ya watu wake kierimu na rishe bola, vyakur a kama mahalage

mchere, sukali, virikuwa vikipatikana kira kona ya Jamhuli ya Tanzania
Mkuu tatizo la kuchanganya R na L tunalo wengi kumbe ila me kiasi fulani nimelipunguza nikawa nakosolewa hadi nimeanza kuzoea zoea
 
Ninampenda Nyerere, Hata msemeje! Alilipenda taifa letu kuliko Hata familia yake, !,,, hakuwa fisadi hilo latosha.
 

CAN YOU Mention those PRISONER's? It sometimes Propaganda... NO ONE WAS Imprisoned by NYERERE in 1962

He was not even ruling the country as the PM was Rashid Kawawa; He took Over Afterwards as the Republic President
.......


  1. Christopher Kassanga TUMBO
  2. Joseph Kasela BANTU
 
Ninampenda Nyerere, Hata msemeje! Alilipenda taifa letu kuliko Hata familia yake, !,,, hakuwa fisadi hilo latosha.
Mhh! afadhali hawa mafisadi wetu wa sasa hivi wengi wao pesa nyingine wanazibakisha na kuwekeza vitega uchumi hapahapa hivyo pesa inazunguka hapahapa nchini na wananchi wengine wanaambulia kazi katika miradi ya mafisadi, lakini FISADI Nyerere yeye kazi yake alikuwa akichota tu na kuwapelekea Wakristo wenzake nje ya nchi mfano Biafra.
 
  1. Christopher Kassanga TUMBO
  2. Joseph Kasela BANTU

Christopher Kassanga Tumbo was arrested in Kenya in 1963 for opposing the East African Federation proposal. He was returned to Tanganyika and held in detention for four years.

Kuhusu Joseph Kasella Bantu ninachokumbuka mimi ni kuwa alikuwa anampinga Nyerere na aliwekwa ndani kwa kuamrisha mapigano ya watu kuibiana ng'ombe kule Nzega. Bahati mbaya taarifa zake hazijaandikwa, lakini hili nalikumbuka.


Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa hapendi sana kubishiwa kitu. Alikuwa anawaadabisha wale waliompinga kwa kutumia sheria ile ile ya Preventative Detention Act waliyokuwa wanatumia wakoloni. Pamoja na mabaya yake yote Nyerere hakumuua yeyote wala kumuacha mtu aozee detention na wala hakuwa na lukuki ya watu walioswekwa detention.
 
Sasa nimerekebisha kidogo Wikipedia. Mjadala uendelee
 
Sasa nafahamu kwa nini Zomba anampenda Kikwete na anamchukia Nyerere wote wanaCCM kwa nyakati tofauti.
 
hakuna merekebisho yanayo hitajika hapa jamani? I think this is a malicous attempt to rewrite history...

Julius Nyerere - Wikipedia, the free encyclopedia

Political repression

In 1962, Nyerere created the Preventive Detention Act, which was used to imprison opposition and suppress trade unions. People disappeared and victims are estimated to be in the thousands. International human rights organization Amnesty International adopted 141 prisoners of conscience in 1977.[SUP][19][/SUP] In 1979, Nyerere had more political prisoners than even South Africa.[SUP][20][/SUP] Press was controlled through refusal of official registration.
Nyerere's prison camps for political dissidents were notorious for practices such as electric shocks, solitary confinement, and denial of basic necessaries. Almost everyone contracted diseases such as tuberculosis, according to survivors.[SUP][21]



The deficit in cereal grains was more than 1 million tons between 1974 and 1977. Only loans and grants from the World Bank and the IMF in 1975 prevented Tanzania from going bankrupt. By 1979, ujamaa villages contained 90% of the rural population but only produced 5% of the national agricultural output.[SUP][27]


[/SUP]
He was criticised[SUP][by whom?][/SUP] for his vindictive actions after unsuccessfully appealing to the Pan Africanist Congress to adopt dialogue and détente with Pretoria instead of armed revolution. He supported a leadership coup that installed David Sibeko but after Sibeko's assassination he crushed PAC resistance at Chunya Camp near Mbeya on 11 March 1980, when Tanzanian troops murdered[SUP][citation needed][/SUP] and split up the PAC army into detention camps. Nyerere then pressured the Zimbabwe government to arrest and deport PAC personnel in May 1981. The PAC never recovered and despite rivalling the ANC from 1959–1981 quickly declined. Its Tanzanian controlled remnant gained only 1.2% in the South African freedom election of 1994.[SUP][citation needed][/SUP][/SUP]

Hapo kwenye red Mmoja wapo alikuwa Al Marhum Baba yangu , inaniuma sana tena sana sana sana ! huo si upotoshaji, ni ukweli ulio wazi labda nyie msiojua ! tuulizeni watu wa Dar es Salaam , Na hapo kwenye green ni ukweli kabsaaa kabisa ! kulikuwa na vikundi vingi, Zaramo Union, wamakuwa , wamashomvi, wakwere , wandekereko, wamatumbi , na vingi vingi vingi vyote nyerere alivisdhoofisha ili kuwadidimiza watu wa pwani ! uongo upo wapi ! LAA'NATULLA NYERERE!
 
Bora Nyerere kuliko dhaifu kupanga na kutesa, Dr. Ulimpoka, Dr. Mwakyembe et. bora ya nani/
 
Back
Top Bottom