Hulali mkuu?
Uporoto01 kwa kweli sijui... ila deskmate yupo. Alipata matatizo kidogo, but nothing to worry about. Nikimuona nimwambie nini?
Hivi sijawahi kukwambia hata mimi ni lawyer?ukimuona mwambie 'nitamfukuza kazi'
maana namlipa huku kazi sioni ikifanyika
nahitaji lawyer na yeye ndo lawyer na simuoni..
mmeamkaje?
Kwa mgongo. . . wewe?
Kloro na Uporoto mje hata kuchukua salam zenu za mwaka mpya bana. . . .
Mi sikulala...mmeamkaje?
bora umeamka kwa mgongo
kwa mbavu ni hatari mno
Mi sikulala...
Kloroquin alipata complication wakati wa tohara yake anatibiwa India kwa sasa. Uporoto aliibiwa simu yake kipindi cha xmas, mchangieni anunue BB mpya.
Kuna ka thread kamenikamata kweli, nashindwa kulala! Hivi hatuwezi kuhairisha sherehe za kutoka ziwe kesho wikiendi? lolkwa nini mwali?
Ujue leo ndo unatoka ndani?
Lala sasa hivi, sura itachoka bwana
uporoto hadi namsahau sasaI have missed them too.... Hasa Uporoto1 for atleast Klorokwini kind of said atapotea yupo hani muni...lol
uporoto hadi namsahau sasa