Miaka 8 sasa jamaaa ameshindwa ku mobe on. Ina maana ameshindwa kumpata hata Judith au Neema mwingine.Mapenzi hayajawahi kumuacha mtu Salama,yani jamaa ameshindwa kwenda Moshi kumuulizia demu wake
Kuna kisa kimoja lkn kukisimulia hapa jukwaani ni noma sanaKwamba hakuna aliekushika ku mtima Hadi kummiss![]()

Naona Ni mwendo wa kuchuliana tu
Kam pm😜Kuna kisa kimoja lkn kukisimulia hapa jukwaani ni noma sana![]()
😂😂😂Nimeacha wogaWewe ni mwoga siku hizi
Unaziogopa pm
Mkemee kwa jina lililo kuuNaona Ni mwendo wa kuchuliana tu

Yaani siku hizi hunipendi hadi naogopa. Unanidanganya hadharani dunia ikiona hivi hivi jmn🥲Nimeacha woga
Njoo bana
Ex wangu km ananiwaza hivi akemee sana maana hilo ni pepo na ananichulia mahusiano yanguMkemee kwa jina lililo kuu![]()
Hakika ndugu yangu umekamatika...shikilia papo happoooEx wangu km ananiwaza hivi akemee sana maana hilo ni pepo na ananichulia mahusiano yangu
Nisipokupenda wewe nitampenda Nani mwingine..njoo bana nakumissYaani siku hizi hunipendi hadi naogopa. Unanidanganya hadharani dunia ikiona hivi hivi jmn🥲
Umesema hadi kwao unapafahamu,kwanini usiende Moshi kumuulizia kwao?Anaitwa Anastasia Benidicta Ila alikuwa anapenda nimuite Aneth, Nimemkumbuka Sana Mpenzi wangu.
Popote Ulipo Aneth, nakuomba ujitokeze, najua umeolewa lakini nataka nikuone tuu roho yangu itulie
Acheni nikamatike,, kuendelea kushikilia ex, Ni kujizibia riziki na kujiwekea mipaka ya furahaHakika ndugu yangu umekamatika...shikilia papo happooo
Ukorofi uliojificha huuNisipokupenda wewe nitampenda Nani mwingine..njoo bana nakumiss



Nini Sasa..🤦.. njoo bana😘Ukorofi uliojificha huu![]()
Hahaha inategemea huenda uliacha mume wako kizembe.Acheni nikamatike,, kuendelea kushikilia ex, Ni kujizibia riziki na kujiwekea mipaka ya furaha