Upo wapi Anneth Benidicta?

Upo wapi Anneth Benidicta?

Hi!

2014 ulinipenda pasipo chochote, sikuwa na kitu lakini hukujali, ulinipenda na umasikini wangu, licha ya kuwa ulikuwa mrembo Sana,
Nimekumbuka sauti yako nyororo na macho yaliyolegea.

Ulinichagua katika ya wanaume wengi walionizidi sifa za kihadhi, kifedha na hata kielimu.

Popote Ulipo Anastazia Benedicta jua Michael bado anakupenda,

Ulikuwa unaishi Kwa Aunt yako pale Kwenye Kota za mapolisi Moshi mjini, Nyumba yenu ilikuwa mkabala na uwanja wa mashujaa wa pale Moshi mjini.

Nimekumbuka mara ya mwisho tulivyokutana mida ya saa mbili chini ya lile sanamu la mwanajeshi pale uwanja wa mashujaa. Mpaka leo nakumbuka Marashi yako mpaka hivi leo.

Ile zawadi uliyonipa nimeitunza mpaka Leo Kama ukumbusho.

Anneth popote Ulipo nakuomba ujitokeze. Kama kuna mtu humu anamjua Aneth aliyekuwa anaishi na Aunt yake pale Kota za polisi uwanja wa mashujaa naomba amtaarifu Mick ninamtafuta Sana.

Aneth nakupenda Sana. Hata kama umeolewa, sitajali, ninachotaka nikuone roho yangu ipumzike jamani
Nipo naye Mimi,yupo anapewa vitu adimu.
 
Huyu boya ka demu kaolewa na mme wake yupo humu bas kutakua na shida kidogo.
Acheni kutaja majina ya watu wengne walishaolewa
 
Mada kama hizi zinaweza zikawaletea watu matatizo. Siku ikitokea natafutwa kwa design hii nitaua mtu
 
Hi!

2014 ulinipenda pasipo chochote, sikuwa na kitu lakini hukujali, ulinipenda na umasikini wangu, licha ya kuwa ulikuwa mrembo Sana,
Nimekumbuka sauti yako nyororo na macho yaliyolegea.

Ulinichagua katika ya wanaume wengi walionizidi sifa za kihadhi, kifedha na hata kielimu.

Popote Ulipo Anastazia Benedicta jua Michael bado anakupenda,

Ulikuwa unaishi Kwa Aunt yako pale Kwenye Kota za mapolisi Moshi mjini, Nyumba yenu ilikuwa mkabala na uwanja wa mashujaa wa pale Moshi mjini.

Nimekumbuka mara ya mwisho tulivyokutana mida ya saa mbili chini ya lile sanamu la mwanajeshi pale uwanja wa mashujaa. Mpaka leo nakumbuka Marashi yako mpaka hivi leo.

Ile zawadi uliyonipa nimeitunza mpaka Leo Kama ukumbusho.

Anneth popote Ulipo nakuomba ujitokeze. Kama kuna mtu humu anamjua Aneth aliyekuwa anaishi na Aunt yake pale Kota za polisi uwanja wa mashujaa naomba amtaarifu Mick ninamtafuta Sana.

Aneth nakupenda Sana. Hata kama umeolewa, sitajali, ninachotaka nikuone roho yangu ipumzike jamani
Aneth kwa sasa ni mwanajeshi na yuko mpakani huko anapiga mateke ipasavyo
 
Anastazia alikuwa ni binti wa kazi tu kwa afande Frank. Amesharudi kwao Dirma. Pale sio kwa aunt yake bali kwa bosi wake.
 
Back
Top Bottom