Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Ninakukubali sana yani.
Wacha nitabasamu maisha ndiyo hayahaya
Mungu akutunze sana hunaga baya na mtu
Ninakukubali sana yani.
Wacha nitabasamu maisha ndiyo hayahaya
Same hereNinakukubali sana yani.
Mungu akutunze sana hunaga baya na mtu
Kwamba hakuna aliekushika ku mtima Hadi kummiss🙄Sinaga mambo mengi mwanangu![]()
Amina kubwa.Same here
Atutunze wote..Amen
Wewe tena..na uwe mstari wa mbele kupangua makombora ya wajaUlete tu dear..nipo kusoma na kucomment![]()


Akuuu naogopaUlete tyuuh hapa.![]()

Hahah kuna mstari flani wa biblia huwa ninauishi sana na unasema.Kwamba hakuna aliekushika ku mtima Hadi kummiss![]()
😂😂😂😂 Nipo kamiliWewe tena..na uwe mstari wa mbele kupangua makombora ya waja![]()
Nimependa msimamo wako😊Hahah kuna mstari flani wa biblia huwa ninauishi sana na unasema.
" tunatoka utukufu hadi utukufu na nguvu hadi nguvu"
Siku zote napenda kilicho bora zaidi.
Aliye bora akinizingua natafuta aliye bora zaidi ili nisikumbuke nyuma.
Kuna vichache unaweza kukumbuka lkn kurudi nyuma kunatesa...mbele ni mbele mpendwa wangu.
Ukimrudia mliyetamana atakutesa sana.Nimependa msimamo wako![]()



Aiseee..ila hongera SanaUkimrudia mliyetamana atakutesa sana.
Waafrika hatujui mapaenzi kwa 85%
Wenzetu ubeberuni hao ndio wanajielewa sana katika angle hii...wakitengana unaona kabisa wanavyoteseka na wakirudiana yaani ni penzi bichi bichi balaa.
Naongea kwa uzoefu.
Sisi huku mkiachana...fuatilia status ufe
Utafikiri mliishi kimtego
Wapi huko?Tayari,
kama wanawake wote wakirudi kwa walio watoa bikra, hii dunia itakuwa ngumu sana kwa wanaume madomo zege
Kwa hakika huu nao ni uchawiWenyewe wanajiita kamati ya roho mbaya, hapo wenyewe wanaita kukusagia kunguni.
Mchawi tu huyu.
Jamaaa amedata anakumbuka marashi tu badala ya hilo jina la mrembo wake.Kwahiyo huyo Ni aneth au anastazia?!!![]()
Jitahidi sana uowe mwanamke aliyesoma..Ni bora kusikia cool down Sweetheart" kuliko kusikia Niuwe nimesema niuwe 😂😂⛹🏻♂️⛹🏻♂️Ukimrudia mliyetamana atakutesa sana.
Waafrika hatujui mapaenzi kwa 85%
Wenzetu ubeberuni hao ndio wanajielewa sana katika angle hii...wakitengana unaona kabisa wanavyoteseka na wakirudiana yaani ni penzi bichi bichi balaa.
Naongea kwa uzoefu.
Sisi huku mkiachana...fuatilia status ufe
Utafikiri mliishi kimtego