mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,039
Utaishi milele wewe?Nenda kachanje we jamaa acha ujinga utakufa wewe.
Kwahiyo hamchanji kwa sababu hamtaishi milele?Utaishi milele wewe?
Waliochanja ndio wametangulia kufa!! Chanjo hii ina malengo ya ziada labda maana imeshindwa kabisa kumkinga mchanjwaji!! Au umeamua kutazama na kufikiri kwa kutumia tumbo?? Hata kama haujui kusoma hata picha huwezi kuona?? Pole!! Bila aibu tumeambiwa hata wanaohubiri na kuhamasisha chanjo kama msanii yule kwenye mdahalo wa chanjo ya corona Dr Sospeter Bulugu hajachanja!! Wewe mwenzangu na mimi ndo kichwa kichwa kama nyumbu unaelekea kwenye chanjo!! Akili za kuambiwa changanya na za kwako!!Nenda kachanje we jamaa acha ujinga utakufa wewe.
hiko kitabu alikiandika kwa kutumia elimu kubwaFools Dies by Mario Puzo
Fools dies?! Ulitaka kusemaje?Fools Dies by Mario Puzo
Chukua familia yko ukachanje kelele za nini, kuna mtu anaishi au kufa kwa niaba ya mwingine.Rais wa Brazil alileta ujinga na wafuasi wake kuhusu Corona. Ilichowafanya hawataisahau.
Iringa na Moshi majeneza yameadimika kisa ujinga wa kupingana na sayansi.
Matusi ya nini Mr.Mpinga Chanjo? Gwajima amekudanganya utakuwa Zombi?Chukua familia yko ukachanje kelele za nini, kuna mtu anaishi au kufa kwa niaba ya mwingine.
Chukua familia yko ukachanje kelele za nini, kuna mtu anaishi au kufa kwa niaba ya mwingine.
Meseji yako Ni nn hapo kwa hiyo picha
Aliyetangulia nani? Wataje wawili tu kwa majina yao yote. Niko hapa nasubiri.Waliochanja ndio wametangulia kufa!! Chanjo hii ina malengo ya ziada labda maana imeshindwa kabisa kumkinga mchanjwaji!! Au umeamua kutazama na kufikiri kwa kutumia tumbo?? Hata kama haujui kusoma hata picha huwezi kuona?? Pole!! Bila aibu tumeambiwa hata wanaohubiri na kuhamasisha chanjo kama msanii yule kwenye mdahalo wa chanjo ya corona Dr Sospeter Bulugu hajachanja!! Wewe mwenzangu na mimi ndo kichwa kichwa kama nyumbu unaelekea kwenye chanjo!! Akili za kuambiwa changanya na za kwako!!
And for sure you are one of them!Fools Dies by Mario Puzo
Wazungu 4millioni waliokufa na Corona walikuwa wanapinga sayansi.ToRais wa Brazil alileta ujinga na wafuasi wake kuhusu Corona. Ilichowafanya hawataisahau.
Iringa na Moshi majeneza yameadimika kisa ujinga wa kupingana na sayansi.