Upinzani utapata nguvu zaidi na huenda ukawa mwisho wa CCM

Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.

Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.

Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa

Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani

Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa

Naona serikali ya umoja wa kitaifa.

Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
Na maandiko yako yatimie kwa nguvu zake aliyekujalia pumzi na maono ya kuandika uliyo andika. Amen
 
Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.

Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.

Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa

Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani

Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa

Naona serikali ya umoja wa kitaifa.

Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
Dah sbb ya kusikia mabeberu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Upinzani uwe makii sana ndani ya muda huu mfupi, sio lissu wala yeyote yule kuna ile huruma ya watanzania, kama watacheza karata zao kwa nia ya kuendelea kuongea mabaya ya jpm au hata kumgusa tu basi watapuuzwa vibaya mno kwa kigeuziwa kibao.
waongee hoja watafanya nini na sio kuponda vya jpm.
Mbona tumeshawapuuza akina Lissu na genge lake, wazandiki wakubwa waliojaa chuki, wenye kutamani walio upande wa pili wafe
 
Ccm tupeni katiba mpya na sio hii ya kidikteta.Nchi ni mali ya walipa kodi na sio ya mtu binafsi.
 
Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.

Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.

Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa

Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani

Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa

Naona serikali ya umoja wa kitaifa.

Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
Nikiwaambia hapa ipo siku CCM itafika Mwisho kama Magufuli alivyofika mwisho wake, hakuna anaeniamini. Ila hifadhini haya maneno yangu. Mwisho wao utafika tu!!
 
Siko chama chochote ila niseme tu

Kitabaki kuwa na nguvu

Chama cha kijani kamwe hakitakaa kiondoke madarakani never ever unless otherwise kivunjike chenyewe

Hauitaji elimu na mchanganuo kujua hili
Kitaondoka,na hutoamimi kama ambavyo ulikuwa huamini wiki nzima kuwa Mungu wako Magufuli amekufa
 
Tuache siasa za lawama twende siasa za hoja ndiyo pumua yetu upinzani pia LISSU zile tambo zake za ajabu aache alete hoja
Na pengine anatakiwa kuwa makini Sasa hivi na kauli zake ili hata system iwe upande wake. Lakini sioni kama akifanikiwa, hkauna raisi atayetoka nje ya ccm kwa miaka ya sasa
 
Yes, ni muda muafaka sasa wa CCM asilia kushika hatamu ya kiuongozi ndani ya CCM.
 
Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.

Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.

Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa

Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani

Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa

Naona serikali ya umoja wa kitaifa.

Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
nakubaliana na wewe, Mama Samia ana hofu ya Mungu, sidhani anaweza kukubali upindishwaji wa katiba na uonevu, ukatili wa waziwazi ukaendelea nchini wakati wa uongozi wake.
 
Upinzani uwe makii sana ndani ya muda huu mfupi, sio lissu wala yeyote yule kuna ile huruma ya watanzania, kama watacheza karata zao kwa nia ya kuendelea kuongea mabaya ya jpm au hata kumgusa tu basi watapuuzwa vibaya mno kwa kigeuziwa kibao.
waongee hoja watafanya nini na sio kuponda vya jpm.
Ni kweli wakikosa hoja wakakimbilia tu kumnnga marehemu itawagharimu
 
Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.

Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.

Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa

Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani

Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa

Naona serikali ya umoja wa kitaifa.

Kwa mbaali naiona Tanzania mpya
Ndoto.....
 
Back
Top Bottom