Entrepreneur
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 1,087
- 620
Nimeyapenda mawazo haya:
Vyombo vya dola, polisi, usalama wa taifa, mahakama havitekelezi majukumu yake kama vyombo vya taifa badala yake vinafanya kazi kama matawi ya CCM. Lengo ni kuibeba/kuibakisha CCM madarakani.
Viongozi wa Upinzania ni lazima sasa kupambana na haya:
1. kupigania kuwepo kwa tume ya uchaguzi iliyo huru.
2.Kuhakikisha na kupiga kelele za kutosha kwa vyombo vya dola ili vianze kufanya kazi
kama vyombo vya nchi na sio kama vyombo vya chama.CCM
3.Kususia Changuzi zote kama mapendekezo hapo juu hayatafanyiwa kazi.
Je kupiga kelele kuna matokeo chanya kwa aina ya watawala tulionao?
Asilimia kubwa ya vyombo ulivyovyitaja ni taasisi zilizoundwa kikatiba, kama kuna mushkel mahali ni bora ifike wakati tuanze kutumia mahakama ya kikatiba.
Ubaya ni kwamba, wengi wetu tumeaminishwa kuwa mambo yote haya yatarekebishwa ndani ya katiba mpya! Kweli? Yaan hawa watawala wajichimbie kaburi lao wenyewe?