Upinzani sasa Tufanye nini?

Kama hiki ndicho mnachokiwaza CCM mbinu yenu imeshindwa hata kabla haijaanza, 2015 CCM ni out hata ikibidi kwa Military option. kaeni na kudanganyana na hizi chaguzi za kata, ila subirini hawa watoto waliokuwa under 18 watakaposajiliwa kwenye daftari jipya ndio mtalijuwa lile bomu alilolisema Lowasa.

Naona umeamua kubeba mikoba ya Sheikh Yahya...sijui umeipata wapi kuwa wapiga kura wapya wote watakuwa mateka wa Chadema...labda kutoka Kaskazini ndio watakuwa Chadema.
 
CDM ilijizolea umaarufu baada ya kuonesha sera nzuri zenye lengo la kuleta maendeleo ya nchi hasa2 katika mikakati
ya kupambana na rushwa! kitu ambacho kimekuwa kigumu kufanyika ndani ya CCM.

Ila kwa sasa wapenzi wengi wa CDM wanahusisha utendaji mbovu wa CCM na uislam au viongozi waislam na kutaka
kupambanisha kama si tayari wameshaanza kati ya viongozi waislam na katoliki!

Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa chama na kama halikufanyiwa kazi basi CDM itakuja kuambulia kura za wakristu
peke yao huku CCM ikipata kura kwenye itikadi tofaiti!

Nasema haya kwa sababu nahitaji mabadiliko ya kimaendeleo hapa tanzania ambayo kwenye CCM ni ndoto!

My take is: CDM na hasa2 wapenzi wake waegemee kwenye changamoto za maendeleo kuliko udhaifu
wa jamii fulani ndani ya nchi
 
obs! mods please move this to JUKWAA LA SIASA
 
Ndugu yangu Josephine pamoja na jitahada na mkakati unaoutaja hapo juu.........kuna sehemu hata tume ya uchaguzi ikitoka Ufaransa.......bado hatujulikani. Kabla ya kupanga mikakati ya Jinsi ya kuvuna...tungeanza na Mikakati ya kupanda na kuotesha. Wilaya ambayo mie nipo hadi hivi sasa ya Bukoba Rural kati ya Kata 29 CDM haina hata kata moja. Na si kwamba tuliibiwa kura..la hasha....hatuko active wananchi hawatujui.....hata kungekuwa na tume huru tungepigwa tu. Tukiwa na mtaji wa kutosha nguvu ya umma ni ulinzi tosha.
 
Vijana ambao wametimiza miaka 18 tokea uchaguzi wa 2010 ni wengi mno sasa hichi chama kichakavu hakitaki hao kwasababu sio mtaji wao

So Hao vijana wote ambao hawajaandikishwa unauhakika gani kua watakuja kupigia CDM wote .?ikiwa Leo wapo waloandikishwa na hawaipigi.unataka kuniambia kua watu waliopiga kura jana ya madiwani vijana hawakupigia ccm na vyama vingineo ila wote walipigia CDM ?!
 
Huo ni mtizamo wako finyu,harufi za udini ziko kwenu nyinyiem na mrs.wenu.
 
Kuna hii habari ambayo JF wameamua kuifungia:
[h=3]Rais Jakaya Kikwete aiweka nchi rehani kumuokoa mwanae asinyongwe China. [/h]
September 7, 2012
Ningumu kuamini lakini ni UKWELI
Taarifa za upelelezi makosa ya jinai nchini China zinasema tarehe 01/7/2012, vijana wawili wenye asili ya kiafrika walikamatwa katika uwanja wa ndege wa Hong Kong usiku, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya shilingi za Tanzania Bilioni nne, mkuu wa kitengo chakuzuia mihadarati cha uwanja wa Hong Kong Yiu-Kwong anawataja kuwa ni Ridhiwani Jakaya Kikwete na Abdalah Aman Mohamed
Mnamo tarehe 2/7/2012 majira ya saa nne (4:13) za usiku hapa Tanzania, rais Jakaya Kikwete alipokea simu kutoka kwa mtanzania mmoja aitwae Philip Malmo ambae ni balozi wa Tanzania nchini China, Taarifa muhimu baada ya salamu ilikuwa ni Ridhiwani amekamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong na madawa ya KULEVYA,
Kwa haraka, rais akamuuliza vipi suala hili limeshafika hapo ubalozini? Akajibiwa hapana ni mimi na kaimu wangu tu ndie tumepata taarifa hii mda huu, bado hatujaliifanya lakiofisi, tunasubiri ushauri wako mheshimiwa.
Rais alikata simu huku hali yake usoni ikibadilika gafla, ilichukua kama dakika 20 hivi rais akiwa kimya hata kutikisa macho tu hatikisi, baadae akainua simu na kumpigia rais Hu Jintao wa China, Waliongea kwa mda mrefu yapata dakika 40 hivi, na walikonekana kama hawakubaliana kitu fulani katika mazungumzo yao. Baadae simu ikakatwa,
Akampigia simu Malmo nakumwambia suala hili walifanye kwa siri kubwa asijue mtu yeyote, naaweke maandalizi yawe tayari yeye anajiandaa kuja kulimaliza, kasha akampigia tena simu Hu Jintao na walitumia dakika 16 tu akainuka nakusema, vijana, mwambie SD53 aandae ndege haraka kwa safari ya China,
Gari ya kirai namba T 435 CDR aina ya Landcruiser nyeusi iliingia nakuwabeba watu watatu akiwemo rais Jakaya kuelekea airport, kama dakika 13 ikafika airport, tayari ndege ilishaandaliwa na palikuwa na maafisa watatu, wote tuliingia katika ndege ile isipokuwa yule dereva wa gari ambae aligeza mjini, hiyo ilikwa sasa ni saa 7:43 za usiku.
Tarehe 3, majira ya saa nane za usiku kwa china, tulifika China, hakukuwa na aina ya mapokezi yoyote ya kiserikali, na baada ya kushuka tulimkuta Malmo na msaidizi wake wakitusubiri, Malmo alikuwa tayari ameshaandaa hoteli lakini kulingana na tukio lilivyo tulikubaliana tusilale na tukammwambia mheshimiwa rais amwambie Hu Jintao kuwa ameshafika. Rais alitekeleza hilo na baada ya dakika 15 maafisa watatu wa china walifika nakujitambulisha kuwa wenyeji wetu, wakatuchukua hadi alipo Hu Jintao katika moja ya ikulu ya Hong Kong,
Kikao chao kilichukua masaa manne, na jambo kuu walilokuwa wanakubaliana ni mashariti ya kumuachia, Hu Jintao alihitaji jambo moja tu, kwamba nini serikali ya china itapata kwakumwachia huru Ridhiwani? Kilichomvutia Hu Jintao naakamua muachia Ridhwani ni ahadi ya makubaliano ya Rais Kikwete kuwa ataipa China fursa ya uwekezaji wakudumu kusini mwa Tanzania ambako kumegunduliwa mafuta, gesi, na makaa ya mawe.
Kwakuwa sera ya china kwa sasa ni “Now we are going to Africa”, ilisaidia sana kukubali ombi hilo la jk.
Majira ya saa 11 alfajiri kwa saa za china, Ridhiwani aliletwa akiwa katika gari dogo, nakupokelewa na jk huku wakikumbatiana wote WAKILIA. Jk na Jintao wote kwapamoja wakamuonya sana nakumwambia ameliaibisha taifa la Tanzania, lakini kwakujitetea akasema sio yeye, ila inawezekana yule kijana waliyesafiri wote kutoka Ethiopia ndie mwenye mzigo huo.
Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz.
Taarifa hii ni yakweli mimi nilikuwemo kwenye msafara huo,
Hutaki unaacha, hulazimishwi kuamini.
Source ni mimi mwenyewe.
Jason Bourne
Hahaha,hii ni bonge la script, director anafaa kuwa Slaa na polisi alie mkamata awe jackie chain.
 
Naona umeamua kubeba mikoba ya Sheikh Yahya...sijui umeipata wapi kuwa wapiga kura wapya wote watakuwa mateka wa Chadema...labda kutoka Kaskazini ndio watakuwa Chadema.

Hapo ndipo nisipowaelewa Hao pro CDM why wanafikiria kua watu wote wasoandikishwa ni mtaji wao...!kwanini isiwe hawa waloandikishwa kwanza maana wanawatosa tunaona
 
We have to be frank. Kwa upinzani wa sasa ambapo kwa sasa chama kinachoongoza upinzani au chenye nguvu ni CHADEMA si rahisi kabisa kuiondoa CCM madarakani. Ni kweli CCM ina matatiZo na ni dhaifu lakini upinzani ni dhaifu zaidi. Wapinzani ni wabinafsi kuliko wale wa CCM. Wapinzani wanagojea CCM ifanye makosa ndipo na wao wanaibuka kuikandia CCM. Uongozi wa upinzani ni bure kabisa. Hivi wewe unategemea Dr. Slaa awe Rais wa nchi hii? CHADEMA . CHADEMA kimejaa ubinafsi na ukabila viongozi wengi wa ngazi za juu wanatoka Uchagani, wabunge wa viti maalum wanapeana kwa ukoo, ushemeji na kadhalika. Baadhi yao viongozi wa CHADEMA wanadiriki kusema kuwa ikibidi mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro itajitenga na Tanzania. Sasa kumbe CHADEMA ni cha ukanda na kinaitumia mikoa iliyobaki kama ushahidi tu. Watanzania sio wajinga. Wataendelea kuipa CCM kura mpaka miaka 50 ijayo. Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
huna hoja! wala sipotezi muda kubishana na wewe
 
Kazi ni moja tu lengo ni moja tu.....kuitoa CCM madarakani.
Swali lako labda unauliza kwa njia gani.....njia ya kwanza na nzuri ni kura zitokazopigwa ktk mazingira huru, haki na sawa. Ikiwa njia hiyo imeshindikana ziko nyingine nyingi kama mashinikizo maandamano na hata bunduki kama italazimika.

Kwa sasa ni hatari sana kufikiria njia yoyote mbadala yenye kuiacha CCM madarakani baada ya 2015
 
Kwa kura hamuwezi, kwa fujo hamuwezi,kwa maandamano hamuwezi pia, CDM haina nguvu ya watanzania wote, inanguvu ya wamiliki bar na guest house.
 
Hapo ndipo nisipowaelewa Hao pro CDM why wanafikiria kua watu wote wasoandikishwa ni mtaji wao...!kwanini isiwe hawa waloandikishwa kwanza maana wanawatosa tunaona

SIERA,
Tatizo la Pro-Chadema JF wakiwa humu JF wanadanganya sana wanasahau kufanya harakati zingine wakiamini kuwa kila mtu ni Chadema...wakishindwa wanasingizia daftari la kupigia kura, sasa sijui hizo kata 3 walizoshinda wametumia daftari gani.
 
Last edited by a moderator:
Kama hiki ndicho mnachokiwaza CCM mbinu yenu imeshindwa hata kabla haijaanza, 2015 CCM ni out hata ikibidi kwa Military option. kaeni na kudanganyana na hizi chaguzi za kata, ila subirini hawa watoto waliokuwa under 18 watakaposajiliwa kwenye daftari jipya ndio mtalijuwa lile bomu alilolisema Lowasa.

"Baniani mbaya kiatu chake dawa!"
 
Nimeyapenda mawazo haya:

Vyombo vya dola, polisi, usalama wa taifa, mahakama havitekelezi majukumu yake kama vyombo vya taifa badala yake vinafanya kazi kama matawi ya CCM. Lengo ni kuibeba/kuibakisha CCM madarakani.

Viongozi wa Upinzania ni lazima sasa kupambana na haya:

1. kupigania kuwepo kwa tume ya uchaguzi iliyo huru.

2.Kuhakikisha na kupiga kelele za kutosha kwa vyombo vya dola ili vianze kufanya kazi
kama vyombo vya nchi na sio kama vyombo vya chama.CCM

3.Kususia Changuzi zote kama mapendekezo hapo juu hayatafanyiwa kazi.

haaa haaa mmeshapata kiwewe na bado serikali za mitaa 2014,endeleeni kutumia peopz power wenzenu wanatumia peopz brain,tatizo lenu hamko realistic mnapenda kufarijiana kwa kuleteana habari nzuri hata kama sio za kweli badala y kuupata ukweli na kuufanyia kazi,siamini kelele zote na promo zote zilizokua zinaendelea humu JF watu wamepata vitu 5 tu,nia aibu kwakua katibu wenu alizunguka kila kata kwa mbwembwe nying bt imekua aibu kama udiwani imekua ivi huo urais mtaota sana na endeleleni tu kujifariji
 
This has nothing to do with this forum!

CDM ilijizolea umaarufu baada ya kuonesha sera nzuri zenye lengo la kuleta maendeleo ya nchi hasa2 katika mikakati
ya kupambana na rushwa! kitu ambacho kimekuwa kigumu kufanyika ndani ya CCM.

Ila kwa sasa wapenzi wengi wa CDM wanahusisha utendaji mbovu wa CCM na uislam au viongozi waislam na kutaka
kupambanisha kama si tayari wameshaanza kati ya viongozi waislam na katoliki!

Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa chama na kama halikufanyiwa kazi basi CDM itakuja kuambulia kura za wakristu
peke yao huku CCM ikipata kura kwenye itikadi tofaiti!

Nasema haya kwa sababu nahitaji mabadiliko ya kimaendeleo hapa tanzania ambayo kwenye CCM ni ndoto!

My take is: CDM na hasa2 wapenzi wake waegemee kwenye changamoto za maendeleo kuliko udhaifu
wa jamii fulani ndani ya nchi
 
Kazi ni moja tu lengo ni moja tu.....kuitoa CCM madarakani.
Swali lako labda unauliza kwa njia gani.....njia ya kwanza na nzuri ni kura zitokazopigwa ktk mazingira huru, haki na sawa. Ikiwa njia hiyo imeshindikana ziko nyingine nyingi kama mashinikizo maandamano na hata bunduki kama italazimika.

Kwa sasa ni hatari sana kufikiria njia yoyote mbadala yenye kuiacha CCM madarakani baada ya 2015

Mkuu upo tayari kupambana na MP (JWTZ)
 
Back
Top Bottom