Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Unaishi kwa matumainiPole sana kumbe upo..
Unaishi kwa matumainiPole sana kumbe upo..
Sina mood ya kubishana na wewe kwa sasa, nimeshavurugwa kwa sasa, ngja nipambane na hali yngu kwanza siku nikiwa fresha tutapeana ligi make uzi wenyewe ni wa wiki iliyopita hauna mzuka saana kwanguUnaishi kwa matumaini
Mwenye mbwa anajua kuwa hoja walizonazo wapinzani ni za kumwaga, haishangazi anawadhibiti wasisikike!Watakuja na hoja gani kwa mfano ya kuwaaminisha watanzania kwamba wao ni mbadala wa serikali iliyopo madarakani?
labda 2055Ya kuiondoa ccm...inatosha
Kwa akili zako za kibashitelabda 2055
chadema ikishinda 2020 natembea uchiKwa akili zako za kibashite
Utakuwa umetangaza biashara zakochadema ikishinda 2020 natembea uchi
Nchi hii haiwezi kufanyiwa majaribio ya kutawaliwa na watu wasio na uzoefu. pERIODUtakuwa umetangaza biashara zako
Utakuwa umepata nafasi ya kutangaza biashara yakoNchi hii haiwezi kufanyiwa majaribio ya kutawaliwa na watu wasio na uzoefu. pERIOD
Ni ujinga kupoteza muda kuamini upinzani utachukua Nchi miaka ya karibuni. 2055 labda.Utakuwa umepata nafasi ya kutangaza biashara yako
Utakuwa umepata mwanya wa kutangaza biashara zakoNi ujinga kupoteza muda kuamini upinzani utachukua Nchi miaka ya karibuni. 2055 labda.
Kwa jinsi ulivyoandika unaonekana kufirahia huo umafia waliotendewa watanzania wenzako