Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Angalia Sana. Mwanaume kuota ndoto mchana utachafua Shuka!Kwa sasa vyama vya upinzani vinapita katika TANURU la MOTO katika kutengenezwa kushika dola 2020.
Ushindi wa CDM kule Mbeya katikakati ya ngome ya CCM,CDM ilipata ushindi.Hapakuwa na vurugu yoyote ile na uchaguzi ulikuwa huru na wahaki. Tusipende kulazimisha vitu.Watu waachiwe kuchagua kile wanachokipenda.RC wa Mbeya ameitendea haki nafasi yake ya uongozi na tunashukuru hata CCM wamelikubali hilo.Nina uhakika Uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM kuna maeneo inakubalika itashinda kwa haki, hivyo hivyo na vyama vya upinzani.
Msitishwe na hii Hama Hama kwani wote hao kabla ya kuja upinzani walikuwa CCM. Kwahiyo wanarudi nyumbani kwao.Kuna shida gani mtu kurudi nyumbani kwao. Tuwe wakweli kama suala in kumuunga mkono RAIS hilo sina shida nalo.Cha msingi ni wewe Diwani unapokuwa umechaguliwa haijalishi uko upinzani au chama tawala mbele ya waliokupa kura unafanya kazi chini ya serikali iliyoko madarakani kwa sababu diwani hana budget yake bali niya serikali kwahiyo kujiuzulu kwa kusema unaunga mkono huo ni UONGO wa MCHANA KWEUPE.VIVA CHADEMA VIVA CUF VIVA ACT WAZALENDO