Upinzani kuzoa viti vingi vya ubunge na udiwani 2020

Unaishi kwa matumaini
Sina mood ya kubishana na wewe kwa sasa, nimeshavurugwa kwa sasa, ngja nipambane na hali yngu kwanza siku nikiwa fresha tutapeana ligi make uzi wenyewe ni wa wiki iliyopita hauna mzuka saana kwangu
 
wapinzani kuwen makini na mapandikizi kwenye uchaguzi ujao

mapandikizi yataanza kwenye kujaza fomu na atakayesaini hizo fomu

Wengine ni wale wa kununuliwa ili wakosee kujaza fomu halafu ccm ibaki na ushindi wa mezani

Baadhi ya maeneo watatangazwa ccm kwa nguvu lakini si maeneo yote wanauwezo wa kufanya hivyo kutokana na uwingi wa watu
 
Watakuja na hoja gani kwa mfano ya kuwaaminisha watanzania kwamba wao ni mbadala wa serikali iliyopo madarakani?
Mwenye mbwa anajua kuwa hoja walizonazo wapinzani ni za kumwaga, haishangazi anawadhibiti wasisikike!
 
Kwa jinsi ulivyoandika unaonekana kufirahia huo umafia waliotendewa watanzania wenzako

Boss Mmawia Usiusemee Moyo wangu. Msema ukweli ni Mpenzi wa Mungu, hata kama unauma. Kama ulikuwa haujui, ujue sasa, huu umafia wote una baraka za WaTanzania aka Wananchi au Mwananchi. CCM na Serikali aka Jamhuri haijajiweka yenyewe madaraka, iwe kwa Umafia au kwa Kura halali. Haya tukija kwa hao tunaowaita Upinzani. Kila siku habari ni zile zile. Hatua hawachukui, shinikizo hawachukui. Sasa wewe unategemea nini???!!! Mimi ninachoshukuru Mungu WaTanzania wa leo sio wa jana. Bado vijijini tu.

Sasa Boss kama wewe namba 9 yangu kwako unaona ni namba 6, kazi ni kwako si kwangu, mimi kama Mtanzania nishatoa Maoni, Ushauri kama Katiba na Sheria za Nchi zinavyotuongoza.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom