Uchaguzi 2020 Upinzani kumsimamisha Membe: Kosa kubwa, usaliti na dhambi isiyosameheka

Zitto tuondolee hili balaa la Membe.
Naona anazidi kujisogeza tu, vyama vya upinzani wanapaswa kufanya kila jambo kwa tahadhari kubwa wakati huu, chama na serikali vina haha kuhakikisha nchi haitumbukii kwenye vikwazo vya kiuchumi baada ya kuiba uchaguzi wa mwaka huu. Membe anaweza kuwa kete yao.
 
Reactions: BAK
Kwamba Membe anatumika na maccm?

 
Badili Heading kwanza! unamaanisha MEMBE au MWAMBE??
Mkuu naona jamaa wanamkataa mjomba wetu Uncle Ben Membe.
Naona Ukana umezidi shilungo unachachuka!

Usikate tamaa lolote linawezekana chini ya jua, huenda akashinda uchaguzi na kuingia kwenye kasri lenye mimawe pale Dom.
Mimi naenda na JPM-2015-2020-2025, mambo ya kubadili katiba kuongeza muda au kuondoa ukomo sipendi hata kuyasikia.
 
Unalogic fulani hivi kwenye hoja zako ,Inabidi Membe afanyiwe vetting au asapoti upinzani ,bila kugombea tuone ukweli wake .
 
"Once the mission has started ,must be accomplished "

👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊
 
Subirini mtaona siasa zinavyokwenda CDM ni chama cha umma tofauti na CCM.
 
Huyo Dr.Slaa angehamia chama kingine ningemuelewa ila sio kwenda kutumika na serikali ya CCM alafu utake watu wakuone ulikuwa mwana mageuzi.
Kwani hakuna watumishi wa serikali ambao ni wana mageuzi? Ningekuelewa kama Slaa amechukua kadi ya CCM.
 
Well said
 
Lowasa hajafanya kosa lolote upinzani.
Alitimiza wajibu wake ,lakini CCM waliendelea kumuhujumubaada ya kumuhujumu kwenye kura na ushindi.
Lowasa Alirudi CCM kwa maslahi mapana binafsi, si kwa nia ya kuwakomoa wapinzani bali maslahi mapana ya Maisha yake.
Membe ni mtaji kwa upinzani, na uzoefu wake utatusaidia kujipanga kushika dola .Tukishinda yeye hana ugeni na Ikulu na systerm.
Tukishindwa yeye atabaki kuwa mwanachama wa Kawaida kama alivyoingia
 
Zitto tuondolee hili balaa la Membe.
Mkuu BAK nina uhakika unamjua vema Zitto, sina imani kabisa na Zitto hiyo hidden agenda ya CCM.
Huyu Bwn alitumika na CCM akifadhiriwa na NSSF chini ya Duni kufubaza nguvu za M4C ya CDM.
Uzuri wake aligundulika mapema akangolewa yeye, Kitila, Mwampamba na Shonza.
Sidhani kama amebadilika kuwa true member wa opposition.
CDM stay alert with these guys the Membes!!
 
Nalikumbuka vyema sana sakasaka lililomfanya afukuzwe CDM na mikakati yake ya siri na viongozi wa idara ya usalama wa taifa. Nilidhani amebadilika.
 
Nakubaliana nawe Mkuu. Zitto alishatoa kauli hadharani kwamba Zitto alishatoa kauli hadharani kwamba Lissu anastahili kupeperusha bendera ya upi za ni kama mgombea urais, mara kishabadili kauli. Chadema wasifanye makosa ya 2015 ya kumchukua ccm mwingine kama mgombea wa urais au ndiyo itakuwa KITANZI cha milele

https://www.mwananchi.co.tz/habari/...-urais-2020/1597296-4912456-qpgci1/index.html

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…