Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua unampigia debe babaako yeye ana cheo gani upo kusifia wanaume tu.Mimi naona bora tumsimamishe membe kuliko yule msaliti aliyekuwa anatetea Mabeberu yatuibie madini yetu
Hakuna cha mtu waoHuyu Membe ni mtu wenu, mnataka kuwahadaa wapinzani, watakua wajinga kama watakubali.
Naona anazidi kujisogeza tu, vyama vya upinzani wanapaswa kufanya kila jambo kwa tahadhari kubwa wakati huu, chama na serikali vina haha kuhakikisha nchi haitumbukii kwenye vikwazo vya kiuchumi baada ya kuiba uchaguzi wa mwaka huu. Membe anaweza kuwa kete yao.Zitto tuondolee hili balaa la Membe.
Naona anazidi kujisogeza tu, vyama vya upinzani wanapaswa kufanya kila jambo kwa tahadhari kubwa wakati huu, chama na serikali vina haha kuhakikisha nchi haitumbukii kwenye vikwazo vya kiuchumi baada ya kuiba uchaguzi wa mwaka huu. Membe anaweza kuwa kete yao.
Mkuu naona jamaa wanamkataa mjomba wetu Uncle Ben Membe.Badili Heading kwanza! unamaanisha MEMBE au MWAMBE??
"Once the mission has started ,must be accomplished "Mkuu naona jamaa wanamkataa mjomba wetu Uncle Ben Membe.
Naona Ukana umezidi shilungo unachachuka!
Usikate tamaa lolote linawezekana chini ya jua, huenda akashinda uchaguzi na kuingia kwenye kasri lenye mimawe pale Dom.
Mimi naenda na JPM-2015-2020-2025, mambo ya kubadili katiba kuongeza muda au kuondoa ukomo sipendi hata kuyasikia.
Subirini mtaona siasa zinavyokwenda CDM ni chama cha umma tofauti na CCM.Benard Membe ameweka wazi kuwa ikiwa vyama vya upinzani vitaungana na kumkubalia agombee ,basi yuko tayari kupeperusha bendera.
Hili litakua kosa kubwa, usaliti wa hali ya juu na dhambi isiyo sameheka kwa sababu zifuatazo.
1. Kama ilivyokuwa kwa Lowasa, Benard Membe atakua amejiunga na upinzani kwa maslahi yake binafsi. Sio kwamba anakubaliana na sera na falsafa za vyama vya upinzani, na wala sio kwamba anavipenda na kuvitakia mema vyama vya upinzani, hapana! Anataka kwenda huko ili tu atimize ndoto yake ya kugombea urais. Angependa zaidi kuitimiza akiwa kwenye chama anachokipenda cha CCM, lakini huko wamemtimua.
2. Kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa ni kosa kubwa, vyama vya upinzani vikiongozwa na CHADEMA vilifanya kosa la namna hii mwaka 2015, litakua jambo la ajabu kama watakua hawajifunza kutokana na maamuzi yale ya hovyo na yanayo kigharimu chama hadi leo hii.
3. Ni usaliti mkubwa kwa wafia chama na wananchi. Jaribu kufikiri mtu kama Tundu Lissu na wengine, wamekipigania chama usiku na mchana kwa jasho na damu, wengine wameuawa, wengine wamepata ulemavu wa kudumu na wengine wamepoteza mali zao, alafu leo hii unapowadia wakati muhimu kama huu, chama kinawaacha hawa wote na kuamua kumpa nafasi 'outsider' ili atimize ndoto zake binafsi! Ni usaliti usio sameheka. Dr. Slaa hawezi kuwasamehe CDM kwa kile walichokifanya 2015, na iwapo watakirudia tena basi kundi kubwa zaidi litajitenga nao na kuunga mkono juhudi, kuwanini ujitese wakati unao wahangaikia hawauoni umuhimu wako?
4. CCM wanaweza kuwa wanapanga hizi drama za Membe na chama chake, kama anavyojitapa yeye mwenyewe kuwa alikua mtumishi kwenye ile idara nyeti, basi tukae tukijua uzandiki na hujuma ni sehemu tu ya umahiri wake. Chama chake pendwa kinaweza kuwa kinamtumia kwa wakati huu ili kuuweka uchaguzi mkuu 'under control', akigombea mtu wao kama Membe hata akishindwa basi wana uhakika wa kumpa maelekezo awatulize wafuasi wake kuwa mambo yanashughulikiwa kwenye vyombo vya kisheria.
Lakini akigombea mtu radical wa upinzani, wanahofu kuwa anaweza kukataa matokeo na kuhamasisha wananchi wayakatae matokea kwa nguvu zote. Mwisho wa siku nchi inaweza kutumbukia kwenye sintofahamu itakayo hatarisha utawala wa CCM (au usalama wa taifa kwa mujibu wa viongozi wa CCM).
Kwani hakuna watumishi wa serikali ambao ni wana mageuzi? Ningekuelewa kama Slaa amechukua kadi ya CCM.Huyo Dr.Slaa angehamia chama kingine ningemuelewa ila sio kwenda kutumika na serikali ya CCM alafu utake watu wakuone ulikuwa mwana mageuzi.
HakikaMembe akija upinzani aje kutusaidia 'campaigns', ili tujiridhishe na UZALENDO WAKE!
Well saidBenard Membe ameweka wazi kuwa ikiwa vyama vya upinzani vitaungana na kumkubalia agombee ,basi yuko tayari kupeperusha bendera.
Hili litakua kosa kubwa, usaliti wa hali ya juu na dhambi isiyo sameheka kwa sababu zifuatazo.
1. Kama ilivyokuwa kwa Lowasa, Benard Membe atakua amejiunga na upinzani kwa maslahi yake binafsi. Sio kwamba anakubaliana na sera na falsafa za vyama vya upinzani, na wala sio kwamba anavipenda na kuvitakia mema vyama vya upinzani, hapana! Anataka kwenda huko ili tu atimize ndoto yake ya kugombea urais. Angependa zaidi kuitimiza akiwa kwenye chama anachokipenda cha CCM, lakini huko wamemtimua.
2. Kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa ni kosa kubwa, vyama vya upinzani vikiongozwa na CHADEMA vilifanya kosa la namna hii mwaka 2015, litakua jambo la ajabu kama watakua hawajifunza kutokana na maamuzi yale ya hovyo na yanayo kigharimu chama hadi leo hii.
3. Ni usaliti mkubwa kwa wafia chama na wananchi. Jaribu kufikiri mtu kama Tundu Lissu na wengine, wamekipigania chama usiku na mchana kwa jasho na damu, wengine wameuawa, wengine wamepata ulemavu wa kudumu na wengine wamepoteza mali zao, alafu leo hii unapowadia wakati muhimu kama huu, chama kinawaacha hawa wote na kuamua kumpa nafasi 'outsider' ili atimize ndoto zake binafsi! Ni usaliti usio sameheka. Dr. Slaa hawezi kuwasamehe CDM kwa kile walichokifanya 2015, na iwapo watakirudia tena basi kundi kubwa zaidi litajitenga nao na kuunga mkono juhudi, kuwanini ujitese wakati unao wahangaikia hawauoni umuhimu wako?
4. CCM wanaweza kuwa wanapanga hizi drama za Membe na chama chake, kama anavyojitapa yeye mwenyewe kuwa alikua mtumishi kwenye ile idara nyeti, basi tukae tukijua uzandiki na hujuma ni sehemu tu ya umahiri wake. Chama chake pendwa kinaweza kuwa kinamtumia kwa wakati huu ili kuuweka uchaguzi mkuu 'under control', akigombea mtu wao kama Membe hata akishindwa basi wana uhakika wa kumpa maelekezo awatulize wafuasi wake kuwa mambo yanashughulikiwa kwenye vyombo vya kisheria.
Lakini akigombea mtu radical wa upinzani, wanahofu kuwa anaweza kukataa matokeo na kuhamasisha wananchi wayakatae matokea kwa nguvu zote. Mwisho wa siku nchi inaweza kutumbukia kwenye sintofahamu itakayo hatarisha utawala wa CCM (au usalama wa taifa kwa mujibu wa viongozi wa CCM).
Lowasa hajafanya kosa lolote upinzani.Benard Membe ameweka wazi kuwa ikiwa vyama vya upinzani vitaungana na kumkubalia agombee ,basi yuko tayari kupeperusha bendera.

Mkuu BAK nina uhakika unamjua vema Zitto, sina imani kabisa na Zitto hiyo hidden agenda ya CCM.Zitto tuondolee hili balaa la Membe.
Nalikumbuka vyema sana sakasaka lililomfanya afukuzwe CDM na mikakati yake ya siri na viongozi wa idara ya usalama wa taifa. Nilidhani amebadilika.Mkuu BAK nina uhakika unamjua vema Zitto, sina imani kabisa na Zitto hiyo hidden agenda ya CCM.
Huyu Bwn alitumika na CCM akifadhiriwa na NSSF chini ya Duni kufubaza nguvu za M4C ya CDM.
Uzuri wake aligundulika mapema akangolewa yeye, Kitila, Mwampamba na Shonza.
Sidhani kama amebadilika kuwa true member wa opposition.
CDM stay alert with these guys the Membes!!
Wewe umeelewaje kwani?Mtoa mada acha papara unavoandika nyuzi za kisiasa. Sasa ni Mwambe au Membe?
Mkuu BAK nina uhakika unamjua vema Zitto, sina imani kabisa na Zitto hiyo hidden agenda ya CCM.