Uchaguzi 2020 Upinzani kumsimamisha Membe: Kosa kubwa, usaliti na dhambi isiyosameheka

Ili kunogesha uchaguzi mwaka huu wagombea wawe kama ifuatavyo:-
1. CCM - Mh. J P Magufuli
2. CHADEMA - Mh. Tundu A Lissu
3. ACT - Mh. Benard Membe

Nina hakika mshindi hatavuka 60% na wengine watakuwa na 40%.
CCM wataweka kura za maruhani na hata mshindi atapa asilimia kumi bado atatangazwa kuwa rais cause katiba inataka simple majority.
 
Ili kunogesha uchaguzi mwaka huu wagombea wawe kama ifuatavyo:-
1. CCM - Mh. J P Magufuli
2. CHADEMA - Mh. Tundu A Lissu
3. ACT - Mh. Benard Membe

Nina hakika mshindi hatavuka 60% na wengine watakuwa na 40%.
Yani at least hapa kidogo wanaweza pambana na CCM lakini wakisema waungane vyama vyote wamsimamishe MEMBE yani watapigwaa wachakae mapema sanaaa...
 
Kwanza kitendo cha Membe kusema vyama vya upinzani vikiungana na kumuomba agombee ni kuvidhalilisha sana vyama husika.

Ina maana Membe ni mkubwa kuliko vyama hivyo mpaka aende kupigiwa magoti kwenda kugombea ?

Je dhamira yake ikoje juu ya mageuzi ya nchi hii au anaenda kuingiza kutafuta uongozi wa nchi.

Membe akagombee kwa mkewe atuache na vyama vyetu tunawagombea wengi sana wa kuweza kugombea urais.
💪
 
Kama CHADEMA na ACT - WAZALENDO na washirika wao wataingia kwenye mtego huu wa wazi kabisa wa CCM, tutawashangaa mno....!!

Kuna dalili kuwa ACT - Wazalendo watampokea Benard Membe na watampa fursa ya kuwania Urais....

ACT - Wazalendo wakifanya hivyo, tayari kutakuwa na mgogoro kwenye muungano wao na mkakati wa "SYSTEM" kuudhoofisha upinzani utakuwa umefanikiwa....

Sisi kazi yetu ni kutahadharisha. Bernard Membe na CCM ni pete na kidole. Wako pamoja tangu mwanzo hata sasa....

Kubwabwaja bwabwaja kwenye vyombo mbalimbali vya habari kwa Bernard Membe huku akionekana kukishambulia chama chake (CCM), serikali na Rais aliye madarakani sasa toka ndani ya chama chake, yote hiyo ni sehemu ya mkakati uliopangwa vyema huku wasiojua wakipumbazika...

Yote haya ya kufukuzwa uanachama yeye MEMBE na wenzake wale kujifanya walikosea na kuomba radhi na kisha kuonekana kama wamesamehewa ni sehemu ya mkakati thabiti na kuwapumbaza wapinzani wanaotaka kui - replace CCM ktk utawala wa nchi na dola....

Watch out, mtaingia mkenge wa hatari...!!
 
Chadema inapaswa kuelewa kuwa, lengo lake kuu ni kuitoa CCM Maradakani kwa kutumia "kada mwaminifu" na siyo kumuweka mtu fulani madarakani, Tukio la mwaka 2015 halikuwa " planned mistake'' bali mazingira yalilazimisha kosa lifanyike. Tundu Lissu anabaki kuwa ndiye mgombea pekee anayaweza kukabiliana na "kiongozi wa malaika/yesu/Jiwe"
 
Kuhusu Lowassa miaka ya nyuma watu walizungumza hivi hivi, tukawabeza. Leo tunaona matokeo yake.

Mungu anisamehe ila mimi ninaamini Wapinzani wa kweli ni akina LISSU, MDEE, MSIGWA n.k

Hata Mbowe sina imani nae. Natamani LISSU ndo apeperushe bendera CDM post ya Urais.
 
Kama CHADEMA na ACT - WAZALENDO na washirika wao wataingia kwenye mtego huu wa wazi kabisa wa CCM, tutawashangaa mno....!!

Kuna dalili kuwa ACT - Wazalendo watampokea Benard Membe na watampa fursa ya kuwania Urais....

ACT - Wazalendo wakifanya hivyo, tayari kutakuwa na mgogoro kwenye muungano wao na mkakati wa "SYSTEM" kuudhoofisha upinzani utakuwa umefanikiwa....

Sisi kazi yetu ni kutahadharisha. Bernard Membe na CCM ni pete na kidole. Wako pamoja tangu mwanzo hata sasa....

Kubwabwaja bwabwaja kwenye vyombo mbalimbali vya habari kwa Bernard Membe huku akionekana kukishambulia chama chake (CCM), serikali na Rais aliye madarakani sasa toka ndani ya chama chake, yote hiyo ni sehemu ya mkakati uliopangwa vyema huku wasiojua wakipumbazika...

Yote haya ya kufukuzwa uanachama yeye MEMBE na wenzake wale kujifanya walikosea na kuomba radhi na kisha kuonekana kama wamesamehewa ni sehemu ya mkakati thabiti na kuwapumbaza wapinzani wanaotaka kui - replace CCM ktk utawala wa nchi na dola....

Watch out, mtaingia mkenge wa hatari...!!

Hiyo janja tumeshaistukia, hao ACT Wazalendo wanaweza kumchukua ni haki yao, ila kwa cdm ni Tundu Lissu. Hata wakimfunga jela huyo ndio chaguo letu. Kosa la Lowassa halitokaa lirudiwe.
 
Kama CHADEMA na ACT - WAZALENDO na washirika wao wataingia kwenye mtego huu wa wazi kabisa wa CCM, tutawashangaa mno....!!

Kuna dalili kuwa ACT - Wazalendo watampokea Benard Membe na watampa fursa ya kuwania Urais....

ACT - Wazalendo wakifanya hivyo, tayari kutakuwa na mgogoro kwenye muungano wao na mkakati wa "SYSTEM" kuudhoofisha upinzani utakuwa umefanikiwa....

Sisi kazi yetu ni kutahadharisha. Bernard Membe na CCM ni pete na kidole. Wako pamoja tangu mwanzo hata sasa....

Kubwabwaja bwabwaja kwenye vyombo mbalimbali vya habari kwa Bernard Membe huku akionekana kukishambulia chama chake (CCM), serikali na Rais aliye madarakani sasa toka ndani ya chama chake, yote hiyo ni sehemu ya mkakati uliopangwa vyema huku wasiojua wakipumbazika...

Yote haya ya kufukuzwa uanachama yeye MEMBE na wenzake wale kujifanya walikosea na kuomba radhi na kisha kuonekana kama wamesamehewa ni sehemu ya mkakati thabiti na kuwapumbaza wapinzani wanaotaka kui - replace CCM ktk utawala wa nchi na dola....

Watch out, mtaingia mkenge wa hatari...!!
Umefafanua vizuri sana mkuu, wapinzani wasithubutu kudanganywa na sinema za CCM.
 
Kuhusu Lowassa miaka ya nyuma watu walizungumza hivi hivi, tukawabeza. Leo tunaona matokeo yake.

Mungu anisamehe ila mimi ninaamini Wapinzani wa kweli ni akina LISSU, MDEE, MSIGWA n.k

Hata Mbowe sina imani nae. Natamani LISSU ndo apeperushe bendera CDM post ya Urais.
Naungo mkono hili 💯
 
Uko sahihi na nakubaliana na wewe kabisa....

Tutatofautiana kwa Mbowe. Huyu Mzee ni mwanasiasa mwenye msimamo sana. Hayumbishwi wala kuhadaiwa na chochote....

Angekuwa ni mwanasiasa jamii ya "popo" kama wale kina John Momose Cheyo (UDP), Agustino Lyatonga Mrema (TLP), Prof. Ibrahimu Haruna Lipumba (CUF) , nakuhakikishia CHADEMA isingekuwa hii inayowachachafya watawala na chama chao chakavu - CCM......

Ingeshakuwa CHADEMA jina tu kama ilivyo TLP ama PPT - Maendeleo na vingine vya namna hiyo...
 
Tangia 2015 Mbowe na CDM wamejitahidi sana kuwa makini na chama, nani wanamkaribisha na nani wanampa nafasi. Hata kwenye kushirikiana na vyama vingine wamekua makini pia.

Wasifanye kosa dakika za mwisho.
 
Wajitahidi wawe makini, CCM imeanza kujiandaa na uchaguzi wa 2020 punde tu baada ya uchaguzi wa 2015. Zile drama za akina Nape, Membe, Makamba n.k zisimpumbaze mtu, wale wote lao moja.

Absolutely, YES 100%....

Namshangaa sana Zito kumtetea Membe...

Kuna kila dalili kuwa Zito Kabwe anaweza kuwa mmojawapo ndani ya mkakati wa "SYSTEM".....

Sina hakika lakini dalili zinalazimisha mtu kuamini hivyo...

Lakini pia inaweza kuwa ni " strategy " ya opposition kuwa - outsmart wapinzani wao CCM kujifanya wanampokea Bernard Membe, wampe nafasi ya UGOMBEA URAIS na kisha unafanyika mkakati wa kumkata dakika ya mwisho ili kumpima "nia yake" na kuona kama ataunga mkono mshindani wake aliyepitishwa na chama ama atazila na kiaina kurudi kwa waliomtuma kurejesha mrejesho na kujipanga kivinginevyo.....

Kama ni hivi hakika sina tatizo. Hii itakuwa bonge la pigo la kuduwaza kwa CCM litawaacha hoi sana ktk dakika za lala salama....!!
 
Kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa ni kosa kubwa, vyama vya upinzani vikiongozwa na CHADEMA vilifanya kosa la namna hii mwaka 2015, litakua jambo la ajabu kama watakua hawajifunza kutokana na maamuzi yale ya hovyo na yanayo kigharimu chama hadi leo hii.
Utakuwa ni uzandiki na tena ushenzi wa kiwango kisichomithilika kama membe atapitishwa na upinzani maana kwa asili wanamjua ni nani na kwa vyovyote hana mapenzi wala nia ya dhati kiivyo kwa vyama vya upinzani.
 
Back
Top Bottom