Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Mkuu hichi kipimo kikiwa rahisi ndoa nyingi zitavunjika na kupelekea watoto wengi wa mitaani tuendelee kulea tu hamna namna.
hilo ndio linakuogopesha? Lakn huogopi kulea mtoto asiye wako? Mm naamin hakuna mtoto asiye na baba uzuri ni kuwa ikigundulika sio wako mwanamke atalazmika kumpeleka mtoto kwa baba yake halisi na yeye akaishi hukohuko