Upi ujinga kati ya haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upi ujinga kati ya haya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by BUMIJA, Mar 23, 2012.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Kun'garisha viatu ukiwa unaenda kupiga passport size,kumwambia konda shusha wakati upo karibu na Dereva,Kupunguza sauti ya Redio ili Usome message kwenye simu,kumbembeleza mkeo akupe uroda,kuoga kwa sabuni ya unga,kusimamisha basi uulize muda,kuomba maji ya kunywa hotelini,konda kusubiri gari iondoke ndio aikimbilie,kubip alafu unaangalia salio,kuvaa nguo mpya siku ya sikukuu,
   
 2. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  konda kusubili gari iondoke ndo akimbilie ujinga tosha, pia ujinga kuhisi harufu ya chakula alafu unameza mate
   
 3. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Nimekubali kabisa
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Vyote ujinga
   
 5. O

  Oncemore Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jinga hiyo yote hapana afazali jinga mwanzo mwisho
   
 6. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  duuuuuh.... yan vyote ni sawa ila
  ya kondakta kusubili gali liondoke alafu aikimbilie na kumwambia kondakta shusha huku umekaa karibu na dereva ni meviona vimezidi
   
 7. Daniel Mjema

  Daniel Mjema Verified User

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 23, 2007
  Messages: 70
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 25
  kubip huku waangalia salio bana
   
 8. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Kumbembeleza mkeo akupe uroda
   
 9. T

  Temba Innocent Jvr Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia kukoment hapa ni ujinga.
   
 10. kaarejnr

  kaarejnr Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  Duh! Konda kusubiri gali liondoke ndio akimbilie ni ujinga sawa na kumwamsha mgonjo usingizini ili umpe dawa ya usingizi
   
 11. p

  prosper mshumbuo New Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Konda kungoja gari iondoke then aikimbilie.
   
 12. E

  Evansy dwayne Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kusoma thread ya kijinga na kukomenti. Nasi pia ni wajinga
   
 13. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Sio ujinga mana ya thread hizi ni jokes
   
 14. Matti

  Matti Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ehe tehe tehe teheeeee :ranger:
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  kuvaa nguo mpya mpaka sikukuu.
   
 16. s

  stuart New Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuamsha mgonjwa usingizini ili umpe dawa ya usingizi
   
 17. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  binti kuvaa nguo fupi na kuanza kuivuta akikaa ili ifunike mapaja
   
 18. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Wewe ndio mjinga peke yako usiyeelewa maana ya thread za Jokes/Utani
   
 19. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ujinga zaidi ni kusema hii ni thread ya kijinga haluf unajiita mjinga.
   
 20. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  zote ni ujinga kasoro ya kupiga kiwi viatu, maana unakuwa smart.
   
Loading...