Upi ujinga kati ya haya

Upi ujinga kati ya haya

Kutembea njiani na ghafla unaruka kwa nguvu kitu kama mavi na kukishika kwa kidole na kulamba na kugundua ni mavi,.unafurahi na kusema eti bora hujayakanyaga.
 
Ujinga ni kung'ang'ania kuishi Dar wakati hata kula yako na pa kulala pako pa tabu,wakati kijijini kwenu kuna Utajiri wa kila aina.
 
Ujinga ni kuwa kwenye foleni na gari lako halafu ukaanza kuilaumu foleni..!@
 
kumwagilia mchicha ilhali mvua inanyesha... kujamba ukiwa umejifunika shuka na hutaki kufunua kuogopa harufu
 
Kumpigia mtu simu usiku mkubwa na unamuliza "umelala"?
 
ujinga ni kuita kila petrol station ni shell... ilhali kuna oilcom, gapco, total, camel na nyingine nying

ujinga ni kuita petrol station wakati pia kuna kerosene,disel na grease,kwa nini usiseme diesel station basi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom