Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Mkuu
Kama sijakosea.Baada ya Gharika Mungu aliziacha nafsi za hao wanefili hai ili vizazi vyote vije vishuhudie yaliyotokea..

Lakini hizi nafsi pia ndio zilianza tena kazi kuendeleza ubaya kwa kuwatumia watu..
Ndio zilizomwongoza nimrod kujenga Mnara wa babeli..
Pia zinafanya mengi makubwa kwa kupitia binaadam wenyewe eg Illuminat.

Suala la kanani naweza sema kua hao hawakua wanefili bali tu itakua ilikua tu kutokana na asili ya majimbile ya watu mfano Muha wa mkongoro akisimama na msukuma wa shinyanga lazima ajione panzi maana kiasili waha wafupi wasukuma warefu.

Pia mfano Goliath alikua ni jitu kubwa lenye mwili uliopanda juu lkn si Wanefili.

So suala la hapo kanani si dhani kua walikua wamewaona wanefili.

Hao uliotaja paragraph ya mwisho siwafaham labda unielezee nipate elimu
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi murua kuhusu hao Annunaki na Aruba ni jamii kama ya Goliath yalikuwa na yenyewe majitu makubwa yenye nguvu enzi hizo naona labda mfano wako utakuwa umetosheleza kueleza kuhusu hawa Annunaki pia

Ahsante
 
Pamoja sana mkuu, Wasalimiee ujj
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi murua kuhusu hao Annunaki na Aruba ni jamii kama ya Goliath yalikuwa na yenyewe majitu makubwa yenye nguvu enzi hizo naona labda mfano wako utakuwa umetosheleza kueleza kuhusu hawa Annunaki pia

Ahsante
 
Fallen angels..wakiongozwa na Azazel ndio waliingiana na binaadam wakatokea Nephills so Nephils ndo Product ya Fallen angel.

Remember baada ya hao malaika 200 kushuka duniani Mungu aliwafunga kuzimu Wakisubiri hukumu yao ila Nephills bliidline waliondolewa na Gharika kuu ya Nuhu..
Asante kiongozi
 
huyo jamaa alikuwa anatumia bhangi kali sana. limepotea limeenda wapi?
Anadai lilizama chini ya bahari.... Wengine wakadai lilimezwa na bermuda triangle yaani kila mtu ana lake ndio maana nikaleta mada humu tujue kipi ni kipi
 
Nachoshangaa mm kwa nn malaika hawatetei binadamu wala kusaidia
Mkuu
Sema taafifu na omba toba kwa Mungu kwa hilo ulilosema hapo juu malaika hawalali wala kupumzika kukulinda ww hafu unasema hawawasaiidii?
Naomba usome elimu ya Malaika makundi yao na mgawanyo wa kazi then ufahamu
mapepo ndo yanaleta utamu wa dunia kupitia teknolojia je kunamtu ameshaona malaika
Mapepo yanaletaje utamu wa dunia?????
Kupitia teknologia hakuna watu walio wahi kuwaona malaika, malaika ni roho haonekani, ila huonekana kwa watu wenye imani thabiti kwa mpango maalumu. Wengi wenye imani wametokewa na malaika!!!!?[/QUOTE]
 
Kuna kitabu kinaitwa thiaoouba prophecy.

Kama utaamini kila ya kilichoandikwa huko utakuwa umepata majibu yako.

Kitabu unaweza kukinyonya mtandaoni kirahisi tu.
 
Bara la Atlantis kipindi cha Nuhu kurudi nyuma lilikua likitumiwa kama Base/makazi ya Viumbe waliopatikana baada ya Fallen angels kuingiliana kingono na binaadam (WANEFILI)
Baadae lilipotea hilo bara na kubaki barafu tu lakini mpango uliopo sasa hv under secret societies (Iluminat) ni kulirudisha tena na kurudisha Nephilism bloodline. Soon we are reached NWO
theory
 
Unawezaje kurudisha bloodline ambayo Mungu ameifuta?
 
Bara la Atlantis kipindi cha Nuhu kurudi nyuma lilikua likitumiwa kama Base/makazi ya Viumbe waliopatikana baada ya Fallen angels kuingiliana kingono na binaadam (WANEFILI)
Baadae lilipotea hilo bara na kubaki barafu tu lakini mpango uliopo sasa hv under secret societies (Iluminat) ni kulirudisha tena na kurudisha Nephilism bloodline. Soon we are reached NWO
Watalirudisha vipi? Je na hayo majitu(Wanefili) watakuwepo?
 
Back
Top Bottom