Blackafrica
Senior Member
- Jun 26, 2021
- 141
- 401
Ukubali ukatae majority hawajaridhishwa na mabadiliko ya mawazili aliofanya mama kupitia, sura nyingi haziakisi kufanya kazi ngumu iliyopo mbele, bali zipo hapo kutuludisha awamu ya mzee wa msoga.
Kutokana na hilo naona kabisa hii ni kete ya kupata katiba mpya, kwa sasa mahitaji ya katiba mpya sio hoja au ajenda ya wanasiasa bali ni hoja ya wananchi wa Tanzania. Tuungane kudai katiba mpya ndipo hizi drama zitaisha