Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 3,697
- 6,743
Ni kweli hatujaridhishwa.....bladifakeni!Sema hujaridhishwa...acha kuwashikia watu akili..
Ni kweli hatujaridhishwa.....bladifakeni!Sema hujaridhishwa...acha kuwashikia watu akili..
Bila shaka ni mmoja wa sgang au mwanafamilia🏃Ukubali ukatae majority hawajaridhishwa na mabadiliko ya mawazili aliofanya mama kupitia, sura nyingi haziakisi kufanya kazi ngumu iliyopo mbele, bali zipo hapo kutuludisha awamu ya mzee wa msoga.
Kutokana na hilo naona kabisa hii ni kete ya kupata katiba mpya, kwa sasa mahitaji ya katiba mpya sio hoja au ajenda ya wanasiasa bali ni hoja ya wananchi wa Tanzania. Tuungane kudai katiba mpya ndipo hizi drama zitaisha
Makasiriko ya nini? Nendeni chato mkaandamane🤣Ni kweli hatujaridhishwa.....bladifakeni!
Mna nongwa sana..Mimi sijarizishwa ni timu Ile ya wenye chama imerudi hakuna uzalendo ni full upigaji
Poa tu kama ulikuwa mtu mzima enzi za awamu ya 4 utajua kwanini JPM alijikuta analamba urais bila kutarajiwa n wengi kwenye chama, wananchi wameshachoka na kashfa za ufisadi Leo hii umeme hauleweki, maji watu wenye Dili za kutuuzia maji wamerudi Kwa Kasi nk bidhaa zimepanda bei hivi utamueleza mwananchi akuelewe?Mna nongwa sana..
Nakuelewa mkuu..Poa tu kama ulikuwa mtu mzima enzi za awamu ya 4 utajua kwanini JPM alijikuta analamba urais bila kutarajiwa n wengi kwenye chama, wananchi wameshachoka na kashfa za ufisadi Leo hii umeme hauleweki, maji watu wenye Dili za kutuuzia maji wamerudi Kwa Kasi nk bidhaa zimepanda bei hivi utamueleza mwananchi akuelewe?
Kasi yake yaani speed kubwa au ndogo ?, Kwenda mbele au Nyuma ?Tuendelee kumpa muda,waziri asiekwenda na kasi yake atatupwa nje...
Shida ya watanzania hakuna atakaeweza kuihoji wala kuyakataa maamuzi yalio tolewa na watawala wa nchi hii. Hakuna tatakaweza kuandamana wala hakuna mahala ambapo unaweza peleka malalamiko yako yakasikilizwa wala kufanyiwa kazi kiasi useme wananchi wameisema na wamesikilizwa mahitaji na malalamiko yao. Ikiwa kama hatuna pakuhojia wala nguvu yakuwawajibisha watawala vipi tutaweza idai katiba mpya? wapi tunaweza kusema barazalamawaziri halikidhi mahitaji ya nchi sasahivi? Haya nimawazo yangu nakubali kukosolewa.Ukubali ukatae majority hawajaridhishwa na mabadiliko ya mawazili aliofanya mama kupitia, sura nyingi haziakisi kufanya kazi ngumu iliyopo mbele, bali zipo hapo kutuludisha awamu ya mzee wa msoga.
Kutokana na hilo naona kabisa hii ni kete ya kupata katiba mpya, kwa sasa mahitaji ya katiba mpya sio hoja au ajenda ya wanasiasa bali ni hoja ya wananchi wa Tanzania. Tuungane kudai katiba mpya ndipo hizi drama zitaisha
Huyu mama hakuna kitu ateue waziri mkuu kwanza nb hili ni Baraza la
Lukuvi humjui weweLukuvi kaachwa kwa sababu ni threat kwa nafasi ya uraisi wa mama.Anavigezo vyote vya kuwa Raisi wa TZ.
Aliowatoa ni wale wanaoutaka uraisi angalia hata umri wao ni wale wenye haiba ya uraisi.Mama kaacha vijana ambao bado sana kuwa maraisi wa nchi.Hili ni jicho langu kutokana na ile kauli yake ya kuwaweka pembeni wanaouraka uraisi.
Lukuvi alikuwa the best waziri kwenye serikali ya JPM na hii ya SSH, sina hakika kama huyo mama aliemrithi lukuvi ataweza kuvaa viatu vya lukuvi.
Kwahiyo unataka katiba ambayo nawe utateua mawaziri?Shida ya watanzania hakuna atakaeweza kuihoji wala kuyakataa maamuzi yalio tolewa na watawala wa nchi hii. Hakuna tatakaweza kuandamana wala hakuna mahala ambapo unaweza peleka malalamiko yako yakasikilizwa wala kufanyiwa kazi kiasi useme wananchi wameisema na wamesikilizwa mahitaji na malalamiko yao. Ikiwa kama hatuna pakuhojia wala nguvu yakuwawajibisha watawala vipi tutaweza idai katiba mpya? wapi tunaweza kusema barazalamawaziri halikidhi mahitaji ya nchi sasahivi? Haya nimawazo yangu nakubali kukosolewa.
Na siyo ile katiba pendekezwa ya Bunge la katiba, hapana. Tunataka rasimu ya Jaji Warioba.Ukubali ukatae majority hawajaridhishwa na mabadiliko ya mawazili aliofanya mama kupitia, sura nyingi haziakisi kufanya kazi ngumu iliyopo mbele, bali zipo hapo kutuludisha awamu ya mzee wa msoga.
Kutokana na hilo naona kabisa hii ni kete ya kupata katiba mpya, kwa sasa mahitaji ya katiba mpya sio hoja au ajenda ya wanasiasa bali ni hoja ya wananchi wa Tanzania. Tuungane kudai katiba mpya ndipo hizi drama zitaisha
Tuendelee kumpa muda,waziri asiekwenda na kasi yake atatupwa nje...
Lbd ni spika mtarajiwaNimesikitika sana kuachwa Lukuvi
Kama ni hivyo basi huyu Bibi ana Hofu sana,na hajamini katika utendaji wake wa KaziLukuvi kaachwa kwa sababu ni threat kwa nafasi ya uraisi wa mama.Anavigezo vyote vya kuwa Raisi wa TZ.