Upepo umebadilika baada ya kutangazwa mabadiliko ya baraza la mawaziri, ukweli ni kwamba wengi hajaridhishwa na baraza hilo.

Simba akiongoza kundi la mbwa ushindi ni lazima ama simba afe ila mbwa akiongoza kundi la simba lazima atapoteza muelekeo na kamwe usitegemee ushindi.
 
Back
Top Bottom