Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,896
- 183,233
Haunitambui maana haumo kati ya hao wachache.Na wewe umo? Mbona sisi wahusika hatukutambui
Haunitambui maana haumo kati ya hao wachache.Na wewe umo? Mbona sisi wahusika hatukutambui
Hamna mkuu, huo ni utani tuuUpo vizuri mama, vijana wanapata shida sana...
Sina mashaka na product toka kwetuUmeonaeee. Mkuu hii inawezekana huko kwa hao wenye ngozi nyeupe ila huku kwetu ni changamoto.
Labda tutumie njia nyingine kuonyesha upendo ila hii ni ngumu.
Ndiyo ukaamua kunifuata hadi huku?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijashiba ujue... Afu kimepoa[emoji57]
Yeah, mwendo wa "maaaaaah nakufaaaa" in piere's voice[emoji23][emoji23]Ankufa huku akikutaja[emoji23]
Unaniachaje nile mwenyewe... Kule nimenuna[emoji58]Ndiyo ukaamua kunifuata hadi huku?
Dhamana=dhaminiwaTatizo ni pale ambapo unaona unadhaminiwa lakini moyo wako haupo huko.
Haya mambo haya, acha tuu
Especially kwako, una kazi sana weye. Hivi ni mtanange au kitu gani husahau [emoji23][emoji23]
Hahahahha not in thiz one... N... Y.... O[emoji23][emoji23]Yeah, mwendo wa "maaaaaah nakufaaaa" in piere's voice[emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha naona umeamua kumwaga mcheleWewe haumo kwa hao wachache kabisaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23] yupooo.Wewe haumo kwa hao wachache kabisaaa.
Hio ni scene kwenye series za kifilipino.Nenda mahali. Ambapo Uwepo wako Utathaminiwa '
Usiende Mahali Ambapo Uwepo wako Utavumiliwa. ..UPendo ni ZawadiView attachment 1131374View attachment 1131375
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Unaniachaje nile mwenyewe... Kule nimenuna[emoji58]
Asante.Dhamana=dhaminiwa
Thamani=thaminiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nilikuwa natoa ushuhudaaa.
Umeuonaje ushuhuda wangu?
Hii mbona sijui[emoji23][emoji23]Hahahahha not in thiz one... N... Y.... O[emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha bado jua halijazama. Utaikumbuka tuHii mbona sijui[emoji23][emoji23]