Upendo ni zawadi

Upendo ni zawadi

Hahah una jitetea Muone ---kibongo bongo ukiwa mahututi hivyo ICU..jiandae kukimbiwa

Cc:jacklyn ntuyabaliwe
Umeonaeee. Mkuu hii inawezekana huko kwa hao wenye ngozi nyeupe ila huku kwetu ni changamoto.

Tutatumia njia nyingine kuonyesha upendo ila hii ni ngumu.
 
Back
Top Bottom