Mwaka 1999 kuna kitu walibuni wakakiita Y2KTCRA wamesema simu fake zitazimwa saa 5 na dakika 59 za usiku siku ya tarehe 16/06/2016 sasa ili kujua hilo subilia ifikishe huo mda
Simu hazitazimikaHata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)
Simu hazitazimikaNimemsikiliza mtaalam wa TcRA anasema pin liko pale pale leo saa tano na dakika hamsini na tisa usiku.
Yaani cm fake hazitaiona tar 17.
Simu hazitazimikaAmna banha leo ndo mwisho ikifika saa sit we ikifika sita shap angalia mnara mira ya data ipo kwenye sim yako kama ipo bas umepona
Simu hazitazimika
huu ni usaniii
kumbuka Y2K
Time will tellmzee y2k ni y2k na hii ni hii acha kufariji watu
sasa umebisha nini? kwani nimeandika nini ? na wewe wasema nini?Amna banha leo ndo mwisho ikifika saa sit we ikifika sita shap angalia mnara mira ya data ipo kwenye sim yako kama ipo bas umepona
Mkuu sijasema wanazima 12 asubuhi bali watazima usiku wa leo saa 6 kwa kiswahili
Kesho utuletee mrejeshoSimu hazitazimika
huu ni usaniii
kumbuka Y2K
Hakuna taabuKesho utuletee mrejesho
Hahahaa ndio muda wake huu. We unahisi wapi unapigwa chai kwenye simcard nne au upande wa betri?Tea time.
Mimi natabiri simu hazitazimwa.
Hivi mkuu ile mitambo ya analogia ilizimwa?zitazimwa ila sio fair, kuna mavitu feki kibao anzia, vifaa vya umeme vinaunguza majumba hovyohovyo,
kuna dawa feki hadi, arv's, yaani panadol unakuta ni kipande cha muhogo unameza huponi , vyakula feki tunauziwa mbwa choma badala ya mbuzi choma yaani hadi
makalio feki
cc wema
huku ni kutiana khasara
HALAFU
niulize tu kuna hasara gani za kutumia simu feki na faida ipi kwa nji hii?