Updates zoezi la kuzima simu bandia

Tanzania tuna Technology ila science hatuna,nadhan wataalam mnanielewa
 
Wakuuu karibuni nimechinja jogoo kucherekea simu yangu fake haijapatwa na majanga. Hawa tcra hata siwaelewi vitisho vyote kumbe hakuna kitu.[emoji28] [emoji28]
 
wakuuu tunaomba mrejesho kwa waliofanikiwa kuzimiwa simu na TCRA watuambie nini hasa kimetokea baada ya kuzimwa
 
Mimi simu yangu isiyo na IMEI kabisa bado inadunda na kushika mtandao kama kawaida hadi hii mida 00:07. Vipi wewe imepoteza network ya kwako?
Watanzania tunadanganya sana na sie tunakubali. Ndio maana tuliaminishwa kua Kikombe cha babu kinaponya lakini sio ukichukua take away na sie tukakubali tu.
Wewe simu ina betri full Chaji,
Simu Hujabonyeza kidude cha kuzimia,
Simu haina remoti ya kuzimia ,
Mtu alieko mbali na wewe hapo ulipo atawezaje kuizima??
 
Watanzania tunadanganya sana na sie tunakubali. Ndio maana tuliaminishwa kua Kikombe cha babu kinaponya lakini sio ukichukua take away na sie tukakubali tu.
Wewe simu ina betri full Chaji,
Simu unayo wewe mwenyewe na sio huyo mzimaji,
Simu Hujabonyeza kidude cha kuzimia,
Simu haina remoti ya kuzimia ,
Mtu alieko mbali na wewe hapo ulipo atawezaje kuizima??
 
Simu haizimwi, ni inatolewa/zimwa uwezo wa kushika network.
 
Mkuu wakidai wanazima mawasiliano, kwamba simu yako haitashika network.
Lakini pamoja na hayo bado ni wwaongo kwa sababu simu yangu ni fake lakini nimeweza kuitumia asubuhi hii na network ipo vizuri sana
 
Tunaochangia hapa,maana yake simu zetu ni orginal.
 
Mkuu wakidai wanazima mawasiliano, kwamba simu yako haitashika network.
Lakini pamoja na hayo bado ni wwaongo kwa sababu simu yangu ni fake lakini nimeweza kuitumia asubuhi hii na network ipo vizuri sana
Unajua hata simu fake faida yake ni kua haziko kwenye mitambo yao. Yaani kama simu haina hata hiyo IMEI basi wao kule TCRA hawawezi kuiona, hivyo kuzimia mawasiliano napo ni ngumu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…