Updates zoezi la kuzima simu bandia

Zitozimwa nyingi za masista duh!! Kuna masista duu wamelizwa sana kwa kupenda vitu vizuri na wanakutana na wasanii wa lumumba kwa kununulia simu fake kwenye box lake akishaliwa tu inakula kwake
 
...ushaitaja CCM moyo wako umefarijika!
...haya lala na viatu sasa!
 
Hii tender ya kuzima simu wangepewa TANESCO shughuli ingesha isha zaamaanii.....TCRA wanajivutavutaaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…