Imegundulika kwamba vijana wengi hawajashiriki kwenye upigaji kura huko Arumeru na kuonekana kuwa idadi kubwa ya waloshiriki wengi wao ni wazee na watu wazima na kufanya baadhi ya vituo hata walopiga kura washindwe kufikia nusu idadi ya waliojiandikisha"
My take: Suala la vijana kushiriki kwa bidii kwenye kampeni na kutoshiriki zoezi la kupiga kura ni moja ya sababu ya migogoro kwa matokeo ya uchaguzi, umefika wakati vijana wapewe elimu sahih juu ya umuhimu wa kutekeleza haki yao hii ya msingi.
Mumemsikia kutoka kwa huyo mama hapo ITV? Anasema watu wamejitokeza sana sana sana...kwa uzoefu wake hii ni tofauti na siku zilizopita ambapo watu huwa hawajitokezi. Anasema vituo vilikuwa Lively, yaani watu wanakuja mfululizo non-stop tangu asubuhi mpaka vituo vinafungwa
we are used and so much fade up with that magamba propaganda.
Wewe umerukia tu, nimemjibu padre comment yake. Anajiita Rev, na yupo upande wa CDM! Nachoamini mimi kiongozi wa dini hatakiwi ajishughulishe na mambo ya siasa!!! Nimeatack his personality and not his comment!! Think big bro!!
Zipuuzeni propaganda zinazoendelea hivi punde kuwa VIJANA hawajajitokeza kupiga kura, ukweli ni kuwa vijana wamejitokeza kwa wingi #Arumeru
Imegundulika kwamba vijana wengi hawajashiriki kwenye upigaji kura huko Arumeru na kuonekana kuwa idadi kubwa ya waloshiriki wengi wao ni wazee na watu wazima na kufanya baadhi ya vituo hata walopiga kura washindwe kufikia nusu idadi ya waliojiandikisha"
My take: Suala la vijana kushiriki kwa bidii kwenye kampeni na kutoshiriki zoezi la kupiga kura ni moja ya sababu ya migogoro kwa matokeo ya uchaguzi, umefika wakati vijana wapewe elimu sahih juu ya umuhimu wa kutekeleza haki yao hii ya msingi.
kata ya mbuguni.
kituo cha msufini CDM131 ,ccm 72
s/m mbuguni CDM 96 ,CCM 43
kata ya mbuguni.
kituo cha msufini CDM131 ,ccm 72
s/m mbuguni CDM 96 ,CCM 43
Amini usiamini magamba yameangukia pua vibaya sanaaa....
Na mchungaji Getruda Rwakale mbunge viti maalum kupitia SAU,.....Wewe umerukia tu, nimemjibu padre comment yake. Anajiita Rev, na yupo upande wa CDM! Nachoamini mimi kiongozi wa dini hatakiwi ajishughulishe na mambo ya siasa!!! Nimeatack his personality and not his comment!! Think big bro!!
watu 72+43 bado wanafikiri kimkundumkundu.
enzi hizi siyo za kuchagua ccm.
fungukeni nyie mafala!