Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
Matokeo ya awali hali ya CCM ni mbaya kuna
CCM 26 - CDM 142
CCM 27 - CDM 131.

Vituo vingine hali haitofautiani sana. Matokeo hayo ni ya baadhi ya vituo vya USA.
 
matokeo yanmwagika, kupitia Mlimani TV, na CDM inaongoza kwa mamia dhidi ya makumi ya MGMBA... haya ni matokeo ya awali katika vituo vya liganga A and B, USA A&b
 
Mbunge kiwia aliyejeruhiwa mwanza jana na wana ccm sasa hivi anapumulia mashine....tuendelee kumuombea........

Kuna taarifa kwamba hakuna mkono wa kisiasa katika kujeruhiwa kwake, inasemekana ni ugomvi wa kudhulumiana, tusubiri uchunguzi wa polisi.
 
Mbunge kiwia aliyejeruhiwa mwanza jana na wana ccm sasa hivi anapumulia mashine....tuendelee kumuombea........

Maskini jamani hii inatia sana uchungu mtu kumjeruhi binadamu mwenzako kisa siasa....Mungu atamponyesha
 
Mi ntakuwa nacompile matokeo. Rejao kazi yako iwe kujumlisha.

Kituo cha msufini CDM131,CCM 72
S/M Mbuguni CDM 96 ,CCM 43
Leganga kituo cha kwanza CDM 126 (142), CCM 26

kwenye red mkuu ndo corest
 
Kuna taarifa kwamba hakuna mkono wa kisiasa katika kujeruhiwa kwake, inasemekana ni ugomvi wa kudhulumiana, tusubiri uchunguzi wa polisi.

back to topic dude, tunataka updates za matokeo kama unataka kuzungumzia hayo nenda kwenye thread husika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom