Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
ninavyofahamu mimi REV (mchungaji kiongozi) mtu anapata pale amehitimu shule ya uchungaji na si cheo kwa kupewa kama ilivyo neno pastor. Hii inalingana na mtu akihitimu shahada ya uzamivu (PhD) anapoitwa Dr.(PhD). Kama kweli alisoma na kuhitimu masomo ya uchungaji iko pouwa kama sivyo ni kosa

Niliposema si lazima awe padri (as rejao reffered), nilimaanisha anaweza kuwa Mchungaji wa KKKT, EAGT, Anglican, TAG aliyehitimu hayo mafunzo unayosema wewe. Tena mapadri huwa wanatumia Father (Kwa kifupi Fr.)....Huyu rejao yeye akili yake yote akiona neno Rev. anaona upadre padre tu.
 
watu 72+43 bado wanafikiri kimkundumkundu.

enzi hizi siyo za kuchagua ccm.

fungukeni nyie mafala!

Hahahahah!mkuu naona hao 72+43 wamekuudhi sana!yaani post yako imeifanya jioni yangu iwe nzuri,nimecheka kufa!watu wengne kweli wanaudhi sana mkuu
 
Bangi ikiota inakuwa na rangi ganiiiiiiiiiiii????????????????
Naomba Rejao anijibu!
Baada ya muda si mrefu mtakimbia humu Jukwaani! what matters nani ataishia kucheka mwishoni mwa sakata hili la uchaguzi...kwa sasa CDM uwanja wenu, itumieni JF yenu vizuri! baadaye tutabaki wachache sana humu ndani!!
 
Keep the updates flowing Guys! We realy apreciate the work you are doing down there! Peopleeez
 
Mbunge kiwia aliyejeruhiwa mwanza jana na wana ccm sasa hivi anapumulia mashine....tuendelee kumuombea........
 
We mngoni sijakusoma hapo; kuwalisheni matango pori namna gani na wakati hili limewasilishwa na wanahabari mbalimbali walioko huko AM kupitia kituo cha ITV na wala sijalitoa majalalani

Kama ni hvyo basi umetoa taarifa vibaya mie mwenye niwesikilza mwanzo mpaka mwisho wamewahoji waandishi kama watano tu na kila waliomuhoji kapita vituo viwili2 tu na hawajasema kama wewe ulivyoweka!
 
Baada ya muda si mrefu mtakimbia humu Jukwaani! what matters nani ataishia kucheka mwishoni mwa sakata hili la uchaguzi...kwa sasa CDM uwanja wenu, itumieni JF yenu vizuri! baadaye tutabaki wachache sana humu ndani!!

ule mda wa usiku sio? mmezoe kuiba huko hamuibi.......wapuuzi sana nyie......
 
Baada ya muda si mrefu mtakimbia humu Jukwaani! what matters nani ataishia kucheka mwishoni mwa sakata hili la uchaguzi...kwa sasa CDM uwanja wenu, itumieni JF yenu vizuri! baadaye tutabaki wachache sana humu ndani!!

Kama JF ya CDM unafanya nn humu? Nenda kwenye ile website yenu ya rangi ya chanikiwiti!
 
hebu watu acheni kuleta utumbo hapa huu ni muda sensitive subiri matokeo
 
Mi ntakuwa nacompile matokeo. Rejao kazi yako iwe kujumlisha.

Kituo cha msufini CDM131,CCM 72
S/M Mbuguni CDM 96 ,CCM 43
Leganga kituo cha kwanza CDM 126, CCM 26
 
Mungu mkubwa cha msingi chadema wawe makini na kata ya mgombea wa ccm huwa awachelei kuiba sehemu ambayo mgombea wao anatoka
Siyo anayotoka mgombea wao tu wawe makini na kata zote hasa za vijijini ndani kule milimani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom