CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
- Thread starter
- #101
Bila shaka umesahau kwamba JF ndio mtandao wa kijamii unaoongoza kwa maswali eeeh!Mshikaji unauliza maswali khaaa!! yaani kila post yako ni swali...
Bila shaka umesahau kwamba JF ndio mtandao wa kijamii unaoongoza kwa maswali eeeh!Mshikaji unauliza maswali khaaa!! yaani kila post yako ni swali...
dakika zayoyoma.., dk 41 kpnd cha pili
Kubalini tu hapana hakuna cha Yanga B.Dk77
Yanga B 1-2URA!
Bila shaka umesahau kwamba JF ndio mtandao wa kijamii unaoongoza kwa maswali eeeh!
mchomoe jamani maana itakua aibu kubwa sana, Starza wamegongwa, Big shot
aisee niyonzima ni zaidi ya fundi!
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!
Fundi seremala au muwashi?