Updates Yanga v/s URA.......Taifa leo tar 21.07.2013!!!!!

Updates Yanga v/s URA.......Taifa leo tar 21.07.2013!!!!!

mkuu iyo lugha sijaielewa alaf kwaiyo leo nyie mmekung'utwa nusu tigo?

Mkuu hiyo ni Lugha ya Taifa II. Kupyanja iti kulumanga = Ni afadhali kula ugali na mboga kiduchu kuliko kula ugali bila mboga! Kwa hiyo, sare ya Yanga ni bora kuliko kufungwa kwa Simba. tiGO ya Yanga iko imara kuliko tiGO ya Simba ambayo imekuwa matatani tangu enzi za Libolo FC.
 
Katibu wa kampeni wa Mbowe arudisha kadi na kurudi CCM jana!
 
Back
Top Bottom