Updates Yanga v/s URA.......Taifa leo tar 21.07.2013!!!!!

Updates Yanga v/s URA.......Taifa leo tar 21.07.2013!!!!!

leo ikoje kwako? haya simba jana walipigwa 2 kwa 1 . je hapa kwa Yanga leo itakuwaje baada ya dk 90?
 
uyu lutindo Yayo jana katupia 2 kwa simba na leo katupia 2 kwa yanga
ngoja tusikie vurugu za kumgombania simba na yanga
Mkuu unacho kisema ni chakweli kwakua hizi timu (Simba na Yanga) zinaongozwa ki siasa basi tungoje kuona mivutano ya kugombea saini yake huyu jamaa ili kuwa furahisha mashabiki wao.
 
Bora yanga wamwingize yule beki wao mahari Fred Felix Minziro MAJESHI
 
nipe matokeo ya kweli maana watu wanaleta ushabiki tu...
 
powa ila kuna uwezekano wa kusawazisha mabao yote 2?
 
Back
Top Bottom