Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,030
- 110,663
dk ya ngapi?
Dakika zilizobakia hazimtoshi hata kuku kumeza punje ya ulezi...
dk ya ngapi?
Dk 4 za nyongeza, tumechomoaaaaaaaaaaaaaaaaa, tegeteeeeeeeeeee
Awa ndo yanga a.k.a TAHITI wanashangilia droo
mpira umisha???
afadhali tumechomoa
hongereni
kwani mlichomekwa mkuu?
Umeisha, 2-2 mkuu
naona watanai walikuwa wanataka kufanya matanga ya pamoja!! By the way timu imeonyesha kukomaa?
Sp
hongereni kuchomoa libolo
Awa ndo yanga a.k.a TAHITI wanashangilia droo
kwani mlichomekwa mkuu?
Kupyanja iti kulumanga; pia, ni heri ya nusu shari kuliko shari kamili. Mnyama kakung'utwa tiGO yake bila ubishi. Kwa nini tusishangilie kwa raha waliyotupa vijana?
hongereni kuchomoa libolo