AFRIKA KWETU
Member
- May 21, 2013
- 29
- 8
Mpaka dk hii URA 2 YANGA 0
tunapigwa la pili kwa faulo!!!
tunapigwa la pili kwa faulo!!!
Kaumia wakati akipasha kabla ya mchezo kuanza!Mnigeria vp?
Bin Kleb ebu mtafute Lutimba Yoyo,maana ni balaa tupu lol.
sema Yeboyebo wanapigwa la PILI, mbona unatuchanganya?tunapigwa la pili kwa faulo!!!
nani kapigwa? unadhani wanacheza na Simba nn?Refa vip huyu???? Goli halali kabisa anakataa!
First eleven ya Yanga:
1.Barthez
2.Twite
3.David Luhende.
4.Canavaro
5.Yondani
6.Chuji.
7.Msuva.
8.Domayo.
9.Ngassa
10.Nizar
11.Niyonzima
First eleven ya Yanga:
1.Barthez
2.Twite
3.David Luhende.
4.Canavaro
5.Yondani
6.Chuji.
7.Msuva.
8.Domayo.
9.Ngassa
10.Nizar
11.Niyonzima
nani kapigwa? unadhani wanacheza na Simba nn?
umenikumbusha ya Shiboliuyu lutindo Yayo jana katupia 2 kwa simba na leo katupia 2 kwa yanga
ngoja tusikie vurugu za kumgombania simba na yanga