ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Hapana si yeye mkuu.
sawa sawa, naona madogo wanaweka mpira chini.., huyu derick waluya anaonekana kazoea sana kucheza hapa..
Hapana si yeye mkuu.
Dk 32!tupeni matokeo wacheni kuchonga
Huyu bwana mdogo Rajabu Dhahili ni balaa tupu,acheki na kima.
Wanamuita 'aka'Puyo wa Jangwani lol!
Ivi vitakuwa visingio vya ernie brandts baada ya miechi
-wachezaji wangu wengi wamefunga ndo maana umeona kipindi cha pili wachezaji wangu waliishiwa nguvu
- pia wachezaji wengi wangu muhimu wapo timu ya taifa programs zangu haziendi
- washambuliaji wangu bado ni tatizo, mazoezini wanafanya vizuri lakini kwenye mechi wanapoteza nafasi nyingi
- tunaenda kujipanga ili tuweze shinda mchezo unaofuata
Huyu dogo wa URA(Lutimba Yoyo)anajipendekeza jangwani sio,hatumtaki ata akitupiga 4 nyambafu!
mkuu, pale benchi namuona mtu kama niyonzima, ni yeye au macho yangu mkuu
Niko Jirani kabisa na bench Ia Yanga Niyonzima Haruna ndani ya taiga!!
Refa anawabeba URA!
ura 1,dk 42