Yanga wamedroo 2-2 na JKT Ruvu, wamesawazisha dakika za mwisho kwa penalti, nadhani kuna kamgomo fulani kwa wachezaji hasa wa nje pamoja na njama ya kumwekea zengwe Kondic asipewe mkataba mwingine mara tu ule wa sasa utakapoisha mwezi ujao. Bongoland ndivyo tulivyo full blah blah
ni dakika ya 93 maana ukisema ya mwisho mtu mwingine anaweza asielewe kwamba yebo yebo kabebwa...teh tehJKT Ruvu 2 Yanga 2. Yanga wamechomoa kwa penalti dakika ya mwisho!
kodic yeye anadai TFF ina ihujumu Yanga...lakini alipo toa sare mechi ya kwanza alisema uongozi unaihujumu Timu..sasa mi najiuliza m'baya wa kodic ni TFF au Viongozi wa Yanga au kaishiwa...?yangu huu mwaka wenu, teh teh teh teh, vp leo chuji ajapigana, nasikia juzi alikuwa anamdai lefa ndio akafanya fujo, bange kweli mbaya
Yule ni kocha feki kama maximo tu..hata mwaka jana hawa kuwa wakutisha sema fisadi alikuwa amemkabidhi fungu la kutosha...lakini hawakuwa na lolote nakumbuka mechi ya mwisho walifungwa goli zaajabu..na walisawazisha goli dakika ya 98 mechi yao na simba..kama ulibahatika kuwaona mechi yao Al-Ahli ya misri, Al-hli walicheza wanavyotaka mpaka Madega kaazisha bifu na simba eti kwanini tulikuwa tuna hesabu pasi za Al-Ahli ya misri teh teh...simba tuwe na uzalendo kwa yanga uwiiiiiiiiiiiiiiii...usisahau alikuwa na kikosi africa mashariki, mwaka huu kasajili wachezaji kumi na moja wa kimataifa wakati wanaotakiwa kucheza kwa mechi ni watano tu, kituko akataka kuwa panga wote teh teh...eti hajui kanuni, alipozuiwa akawageuzia kibao viongozi eti wana mhujumu..Yanga wamedroo 2-2 na JKT Ruvu, wamesawazisha dakika za mwisho kwa penalti, nadhani kuna kamgomo fulani kwa wachezaji hasa wa nje pamoja na njama ya kumwekea zengwe Kondic asipewe mkataba mwingine mara tu ule wa sasa utakapoisha mwezi ujao. Bongoland ndivyo tulivyo full blah blah
Maji Maji katu saidi kupunguza kasi ya Mtibwa sasa kazi kwetu kesho wanamsimbazi...Majimaji wameendeleza wimbi la Ushindi
Majimaji 1 Mtibwa 0
Pole sana kaka/dada najua mnaishi kwa matumaini...Ni kweli miaka 2 iliyopita ilikuwa ya taabu sana kwetu lakini ndiyo kipindi mliogomea kupelaka timu uwanjani..wakati huu washida kwetu mmetufunga mechi moja tu na kusawazi dakika ya 98 kama mlivyo bebwa jana..baskeli ya miti kesho itakuwa na pointi 12 wewe 5 tukajuana mbele kwa mbele kama ni baskeli ya miti au lah....Graph inaanzia at origin (0), vyovyote vile Yanga ni Timu kubwa na sio ya kuitolea kejeli, Simba mnafahamika kwa taarabu kama za mwenyekiti wenu Dalali na bro. Kadu na Ligi tutaanzia kwenu msimu huu.
Mmetangulia na baskeli ya miti, Yanga ikisawazisha dakika za majeruhi imebebwa Man U wakisawazisha mnakenua meno kweli wabongo nuksi mpaka mnapindisha sheria za soka. Tunajua miaka miwili ilikuwa ya taabu kwenu na vyovyote vile msingefurahia mafanikio ya Yanga Afrika hukumu yenu uwanjani.