Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Refa kawabeba YY leo lasivyo viboko zingewakuta viongozi na wachezaji wao leo..wana bahati leo...YY mesajili majina na wala siyo vipaji...ngoja mkikutana na Mnyama..mtauawa tu
 
yangu huu mwaka wenu, teh teh teh teh, vp leo chuji ajapigana, nasikia juzi alikuwa anamdai lefa ndio akafanya fujo, bange kweli mbaya
 
Yanga wamedroo 2-2 na JKT Ruvu, wamesawazisha dakika za mwisho kwa penalti, nadhani kuna kamgomo fulani kwa wachezaji hasa wa nje pamoja na njama ya kumwekea zengwe Kondic asipewe mkataba mwingine mara tu ule wa sasa utakapoisha mwezi ujao. Bongoland ndivyo tulivyo full blah blah
 
Yanga si wazuri wa kutisha! - Mwaka jana waliokolewa na wale wakenya warefu - Ambani na Mwalala (walifunga karibu 70% ya magoli yote)
 
yangu huu mwaka wenu, teh teh teh teh, vp leo chuji ajapigana, nasikia juzi alikuwa anamdai lefa ndio akafanya fujo, bange kweli mbaya
kodic yeye anadai TFF ina ihujumu Yanga...lakini alipo toa sare mechi ya kwanza alisema uongozi unaihujumu Timu..sasa mi najiuliza m'baya wa kodic ni TFF au Viongozi wa Yanga au kaishiwa...?
 
Yanga wamedroo 2-2 na JKT Ruvu, wamesawazisha dakika za mwisho kwa penalti, nadhani kuna kamgomo fulani kwa wachezaji hasa wa nje pamoja na njama ya kumwekea zengwe Kondic asipewe mkataba mwingine mara tu ule wa sasa utakapoisha mwezi ujao. Bongoland ndivyo tulivyo full blah blah
Yule ni kocha feki kama maximo tu..hata mwaka jana hawa kuwa wakutisha sema fisadi alikuwa amemkabidhi fungu la kutosha...lakini hawakuwa na lolote nakumbuka mechi ya mwisho walifungwa goli zaajabu..na walisawazisha goli dakika ya 98 mechi yao na simba..kama ulibahatika kuwaona mechi yao Al-Ahli ya misri, Al-hli walicheza wanavyotaka mpaka Madega kaazisha bifu na simba eti kwanini tulikuwa tuna hesabu pasi za Al-Ahli ya misri teh teh...simba tuwe na uzalendo kwa yanga uwiiiiiiiiiiiiiiii...usisahau alikuwa na kikosi africa mashariki, mwaka huu kasajili wachezaji kumi na moja wa kimataifa wakati wanaotakiwa kucheza kwa mechi ni watano tu, kituko akataka kuwa panga wote teh teh...eti hajui kanuni, alipozuiwa akawageuzia kibao viongozi eti wana mhujumu..
wana yebo yebo ninaombi:
Tuwaombe TFF wabadilishe ratiba tucheze Jmosi vipi(yanga na simba)...
 
sio mshabiki wa yanga,lakini nimepata kuhudhuria mechi kadhaa za yanga.washabiki wa yanga wako hivi:
Ambani anaposhindwa kuziona nyavu wana matusi yao.utasikia:
-mzee
-hana control
-anabebwa
-yupo sloo
Lakini the same ambani mpira ukimkubali,KAULI ZINABADILIKA KABISA.
wanaopata tatizo fananishi ni pamoja na:
-jerryson tegete
-mwalala
-barasa

sasa kwenye timu yenye washabiki wasiojua mpira kama hawa mabwana wa yanga hatutegemei the very best performance.
sorry
 
Asante mdau hapo juu..Hawana kitu wan yepo yepo..mpira wana bahatisha tuu....hakuni kitu pale Jangwani..hao wachezaji wa kimataifa wamefuata pesa tuu..hawajui kucheza mpira..Kondi alivyoona kuna raha hapa bongo akawaleta familia yake nzima eti kuisaidia Yanga..watakoma mwaka huu..hakuna kitu mwaka huu..ni vipigo baada ya vipigo tuu..Labda mpenzi wa mkubwa JK awasaidie mwaka huu....Naukubalian nawe tuzipige nao Jumamosi tuu....
 
Graph inaanzia at origin (0), vyovyote vile Yanga ni Timu kubwa na sio ya kuitolea kejeli, Simba mnafahamika kwa taarabu kama za mwenyekiti wenu Dalali na bro. Kadu na Ligi tutaanzia kwenu msimu huu.

Mmetangulia na baskeli ya miti, Yanga ikisawazisha dakika za majeruhi imebebwa Man U wakisawazisha mnakenua meno kweli wabongo nuksi mpaka mnapindisha sheria za soka. Tunajua miaka miwili ilikuwa ya taabu kwenu na vyovyote vile msingefurahia mafanikio ya Yanga Afrika hukumu yenu uwanjani.
 
Pole sana kaka/dada najua mnaishi kwa matumaini...Ni kweli miaka 2 iliyopita ilikuwa ya taabu sana kwetu lakini ndiyo kipindi mliogomea kupelaka timu uwanjani..wakati huu washida kwetu mmetufunga mechi moja tu na kusawazi dakika ya 98 kama mlivyo bebwa jana..baskeli ya miti kesho itakuwa na pointi 12 wewe 5 tukajuana mbele kwa mbele kama ni baskeli ya miti au lah....
 
Soccer la BONGO lilivyo SIMBA ikiwa nzuri YANGA inachemka aziwezi kuwa zote kuwa nzuri utazania ugonjwa wa watoto!!!
 
Ikitumia wachezaji ambao wamekuwa majeruhi na wageni Simba imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kuilaza Kagera Sugar kwa bao 2 - 0..au unaweza kusema Simba 12 Yanga 5...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom