Eti YY ni nzuri ? wewe kweli unachekesha......! Tunamjua madega, na fisadi manji mwaka jana na juzi alikuwa anatoa mafungu kwa marefa, na kule tff si mlishehena watu wenu.
Mnyama taifa kubwa, timu mwaka huu imesajiliwa kwa viwango, na hasa umri na sisi tumewekeza kuwa na timu bora kwa muda mrefu. Tuna kocha anayejua kazi yake, na yeye sio mtu wa kupiga domo- eti profwesa, si akashike chaki basi.......teh teh teh teh..
Mmesajili mingongoti, na huyo mbeba mizigo wa cameroon, huku mkitumia waandishi wenu kusifia mizoga, kama huyo winga wa congo, eti anakimbia kama chita- nani alisema mpira ni mbio, si aende basi ktk mita 100 !!
...Ole wenu october mkitia pua, basi ndiyo itakuwa kilio cha miaka nenda rudi, tutawachambua kama karanga.........!!