Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
simba vp leo?
uliza Jmosi ijayo utapata matokeo maana speed ya mnyama inatisha...Ila Azam,JKT, na Mtibwa wana weza kuwa wapinza halisi wa mnyama katika haraka za kubeba kikombe...maana na sikia Takukuru wameshaingia kwenye soka hivyo YeboYebo hawezi tena kununua mechi kirahisi...
 
Yebo yebo leo kapata mgojwa mwenzake yanga 2 na Kagera 0
Simba 2 Moro 1
 
Naomba matokeo ya Yanga...
Moro united 2 - JKT Ruvu 1 full time...
Kagera 0 - Maji Maji 0 bado gemu linaendelea
 
Yebo Yebo Kamkanda miza mwanae kimoja, Toto Africa isipo chuka daraja mwaka sijui lakini nimekumbuka msimu uliopita walituaabisha sana acha washuke...
 
Mpira umeisha na Simba imefanikiwa kuondoka na pointi 3 zidi ya Africa Lyon..
 
Mpira umeisha na Simba imefanikiwa kuondoka na pointi 3 zidi ya Africa Lyon..

Asante sana Crashwise, Mnyama anazidi kuchnja Mbuga, Mechi 7 Pointi 21, bado ana gemu nne tu katika Mzunguko wa Kwanza, tunamsubiri Mtibwa, Yanga, JKT Ruvu na Azam FC
 
Asante sana Crashwise, Mnyama anazidi kuchnja Mbuga, Mechi 7 Pointi 21, bado ana gemu nne tu katika Mzunguko wa Kwanza, tunamsubiri Mtibwa, Yanga, JKT Ruvu na Azam FC
Tuna mechi ngumu sana zilizobaki..kama tutafanikiwa kuchukua pointi 12 basi uhakika wa kuchukua kikombe mapema mwaka huu upo...
 
Leo ni Yanga zidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Uhuru Dar ni dakika ya 3 sasa
 
Leo ni Yanga zidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Uhuru Dar ni dakika ya 3 sasa

Mkuu Crashwise,

Tafadhali tupashe sisi tulioko mikoani hali ikoje hapo uwanja wa Uhuru mpaka dakika hii?

Natanguliza shukrani.

Tiba
 
Mkuu Crashwise,

Tafadhali tupashe sisi tulioko mikoani hali ikoje hapo uwanja wa Uhuru mpaka dakika hii?

Natanguliza shukrani.

Tiba
sipo uwanjani ila yanga anaongoza kwa goli moja lililofungwa kipindi cha kwanza...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom