Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Si simba wala hao mcc wanaojielewa.
TP fungeni simba hao wapate maumivu mara mbili ya sasa na yetu ya Yanga usiku.
Wafungeni hata mawili
 
kadi ya njano kwa mchezaji wa prison baada ya kumfanyia faulo tambwe
 
Mkuu nilimaanisha nipo apa mbeya ila siendi sokoine ntakua nipo nawasikiliza kwenye redio, make nawaza tu kuhusu kule cairo

Mkuu mechi ya leo kwa sababu za kiusalama, haichezewi Cairo, inachezewa Alexandria ambao ni mji wa pili kwa ukubwa Misri. Hii ni kuweka kumbukumbu sawa tu.

Tiba
 
kadi ya njano kwa mchezaji wa prison baada ya kumfanyia faulo tambwe

Wasimguseguse wamtengeneze vizuri ili akae nje mpk mwisho wa mcmu...mana'ke kimbelembele chake cha kufunga magoli cyo
 
tambwe ameumia na kubebwa na machela akipata matibabu nje ya uwanja
 
Prisons angalieni hao simba hawakawii kubeba nyavu wapeleke bunju!! Leo nipo al ahly na prisons kwa mkopo
 
Mkuu brave one hi ligi na Yanga wamo?maana siwasikii kucheza ligi hii,wao utasikia sijui Uturuki na leo nasikia wanacheza Misri.
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu nimekusoma
Mkuu mechi ya leo kwa sababu za kiusalama, haichezewi Cairo, inachezewa Alexandria ambao ni mji wa pili kwa ukubwa Misri. Hii ni kuweka kumbukumbu sawa tu.

Tiba
 
Mkuu brave one hi ligi na Yanga wamo?maana siwasikii kucheza ligi hii,wao utasikia sijui Uturuki na leo nasikia wanacheza Misri.

mkuu yanga wanakamilisha ratiba ya michuano ya kimataifa leo kwa kichapo then wanarud home kwenye ligi ya vodacom
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom