Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
simba wanatoa kusini wanapeleka kaskazini mwa uwanja wa sokoine
 
Hakujatokea viashiria vyovyote vya uchawi maana hawa SIMBA ni jadi yao na ni maarufu kwa kazi hiyo.
 
...cha ajabu eti wapenzi wote wa MCC wako upande wa Simba SC!


"masikini Tanzania Prisons!"
 
Habari za jumapili wana JF.
Kama wao Simba wanatuombea duwa mbaya kati ya timu yetu ya Yanga dhidi ya Al-Ahly, basi nasi tunajibu kwa duwa mbaya dhidi yao na Prison, Prison piga Simba bao 3-0 warudi kwa mganga wao wakadai hela yao ktk kipindi chao hiki cha ukata, yaani wachezaji wao hata bar hawaonekani walivyochacha na leo uwanjani watu kiduchu.pole yao.
 
singano messi anapiga shuti juu, simba wamemiliki vizuri kiungo
 
Back
Top Bottom