Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Safi MBEYA CITY FANYENI MAMBO TUZITOE HIZI iTIMU 2 ZA KARIAKOO PALE JUU. AZAM NDO TUMEKAA PALE JUU HATUTOKI HADI UBINGWA.
Naona umelew AZAM MALT wewe sio bure.mnashikiria nafasi ya kwanza huku tim ya wananchi mmeizid mechi moja.yaana wana mechi moja mkononi kwenu nyie.
 
naona umelew azam malt wewe sio bure.mnashikiria nafasi ya kwanza huku tim ya wananchi mmeizid mechi moja.yaana wana mechi moja mkononi kwenu nyie.

kwa hiyo nani anaongoza ligi sasa!! Kesho kichapo tu uarabuni!
 
Simba leo tunawapiga prison kipigo kikali ambacho hawajawahi kukipata.....
 
Naona wadau macho yote mmeelekeza Misri lakini leo ligi kuu tanzania bara inaendelea.
Kikosi cha Simba
1. Berko
2. Shamte
3. Issa rashid
4. Owino
5. Musoti
6. Mkude
7.chanongo
8. Henry joseph
9. Tambwe
10. Kiemba
11. Singano
SUB: ivo, galass, ndemla, mombeki na awadh
UPDATE
mpira umeisha uwanja wa sokoine
Prisons 0 Simba 0
 
  • Thanks
Reactions: cds
Naona wadau macho yote mmeelekeza Misri lakini leo ligi kuu tanzania bara inaendelea.
Kikosi cha Simba
1. Berko
2. Shamte
3. Issa rashid
4. Owino
5. Musoti
6. Mkude
7.chanongo
8. Henry joseph
9. Tambwe
10. Kiemba
11. Singano
SUB: ivo, galass, ndemla, mombeki na awadh

Mkuu tutatoka kweli maana timu yetu imekuwa homa ya vipindi, inapanda na kushuka.
 
mkuu leo ushindi lazima japo mechi ni ngumu

Timu yetu ukichukua mchezaji mmoja mmoja ni wazuri sana sijui kwa nini wanashindwa kupata matokeo mazuri, halafu cha kusikitisha zaidi mechi ambazo tulitakiwa tuchukue pointi kama JKT Ruvu na Mgambo tukazikosa halafu bado tuna mechi ngumu sana, Kagera Sugar, Yanga, Azam na Coastal Union, yaani mwaka hali ni mbaya na kama watafanya uzembe nafasi ya nne au ya tano inatuhusu mwaka huu.
 
Naona wadau macho yote mmeelekeza Misri lakini leo ligi kuu tanzania bara inaendelea.
Kikosi cha Simba
1. Berko
2. Shamte
3. Issa rashid
4. Owino
5. Musoti
6. Mkude
7.chanongo
8. Henry joseph
9. Tambwe
10. Kiemba
11. Singano
SUB: ivo, galass, ndemla, mombeki na awadh

...asante sana mkuu! Naona wapenzi wote wa mpira wamelekea kwa Farao' wamesahau hapa nyumbani: Uwanja wa Sokoine, Tanzania Prisons, leo wakivaa Simba, na Mchezo mwingine utakaochezwa leo ni JKT Ruvu dhidi itamenyana na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamanzi.
 
Mkuu tutatoka kweli maana timu yetu imekuwa homa ya vipindi, inapanda na kushuka.

Azam yejnyewe ilfanya kazi ikatoa sare sasa hawa mikia ndio wataweza kweli? Hapo lazima mikia wakae kwa 5-0.
 
Back
Top Bottom