Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Azam tv1Vp lakini kituo gani kinaonyesha hii mechi ya yanga
Azam tv1Vp lakini kituo gani kinaonyesha hii mechi ya yanga
Huko uturuki mlikoenda kujifua. Au ni habari za uongo za kuwaharibia.ilikuwa dhidi ya timu gani mkuu?
Maneno yake yawe ya kwaeli basi, sio hadithi za KALIKUTA tu.King kibadeni: Leo tukifungwa na yanga, najiuzuru kufundisha"
mkuu hizo taarifa sidhani kama zilikuwa sahihi.Huko uturuki mlikoenda kujifua. Au ni habari za uongo za kuwaharibia.
King kibadeni: Leo tukifungwa na yanga, najiuzuru kufundisha"
Kutetea mutatetea, sikama afanyavyo kuku? hilo sio tatizo ila kuhusu kuchua ubingwa mwaka huu sahauni. Azam asipo Chukua ubingwa mwaka huu sintaona umuhimu wa kuifuatilia tena hii ligi apo mwakani.umenena vema mkuu. tatizo bongo kuna fitna..hao Azam, watasubr kdgo.
Mimi naamini tutatetea kama ulivyosema.
Mtu yeyote mwenye utimamu kichwani mwake anajua kabisa bingwa wa msimu huu ni Manji boys.
Kama husia zako zipo tofauti na kauli yangu naomba wahi MIREMBE fasta.
Cc Masuke Baba V ndetichia Kitoabu ACCOUNT FULL Revocatus Kashaga Katavi watu8
Kutetea mutatetea, sikama afanyavyo kuku? hilo sio tatizo ila kuhusu kuchua ubingwa mwaka huu sahauni. Azam asipo Chukua ubingwa mwaka huu sintaona umuhimu wa kuifuatilia tena hii ligi apo mwakani.
Hiyo timu inayo itwa Manji boy ni ngeni masikioni mwangu. Labda munisaidie wenzangu, Manji boy ndio timu gani na inashiriki ligi ipi?Mtu yeyote mwenye utimamu kichwani mwake anajua kabisa bingwa wa msimu huu ni Manji boys.
Kama husia zako zipo tofauti na kauli yangu naomba wahi MIREMBE fasta.
Cc Masuke Baba V ndetichia Kitoabu ACCOUNT FULL Revocatus Kashaga Katavi watu8
Pamoja sana Mkuu. Usisahau kurusha japo picha mbili tatu hivi ya matukio yaendeleayo hapo Chamanzi Complex. Ila leo lazima turudi ktk nafasi yetu ya kilasiku.leo tupo chamazi tunawakaribisha wana wa manungu..
pamoja mkuu..leo point 3 muhimu tuendelee kuongoza ligi.Mtu yeyote mwenye utimamu kichwani mwake anajua kabisa bingwa wa msimu huu ni Manji boys. Kama husia zako zipo tofauti na kauli yangu naomba wahi MIREMBE fasta. Cc Masuke Baba V ndetichia Kitoabu ACCOUNT FULL Revocatus Kashaga Katavi watu8
sipo uwanjani mkuu ila snap moja hii...Pamoja sana Mkuu. Usisahau kurusha japo picha mbili tatu hivi ya matukio yaendeleayo hapo Chamanzi Complex. Ila leo lazima turudi ktk nafasi yetu ya kilasiku.