Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Leo ni lala salama ya ligi kuu Tanzania bara huku simba wakiingia uwanjani wakiwa wameshatangazwa mabigwa na Azam FC wakiwa washindi wa pili na Yanga wakiwa wana jikongoja nafasi ya tatu. Timu nyingi leo zina ingia uwanjani zikiwa zina linda heshima tu lakini kwa timu ya Villa Squad na African Lyon watakuwa wanapigania kukwepa kushuka daraja kwani moja ya timu hizo lazima ashuke daraja kuungana Polisi Dodoma na Moro United.

Simba na Yanga
JKT Oljoro na Polisi Dodoma
Ruvu Shooting na Villa Squad
Coastal Union Toto
African Lyon na JKT Ruvu
Azam FC na Kagera Sugar
Mtibwa Sugar na Moro United
 
Leo pazia la msimu wa ligi kuu Tanzania bara linafunguliwa huku viwanja mbalimbali nchini vikiwaka moto.MbeyaPrison v/s Yanga DSMA.Lyon v/s Simba
 
Haya wakuu....

Ni msimu mwingine tena,ligi kuu ya VodaCom imeanza rasmi leo....

Mojawapo ya mechi za ufunguzi leo ni hizi:

Prisons Vs Yanga

Simba Vs African Lyon

Kagera Sugar Vs Azam FC.....N.k
 
Dak35, Uwanja wa Taifa Mnyama ametikisa nyavu, mfungaji Okwi, Simba 1-0 Africa Lyon.
 
Africa Lyon wamekosa Penati na hapo hapo Mrisho Ngasa kakimbia na mpira na kufunga goli la pili. simba 2-0 Africa Lyon.
 
Kutoka Chamazi: Jkt ruvu 1-1 Ruvu shooting na kutoka Mbeya; Prisons 0-0 Yanga.
 
Back
Top Bottom