Mzee wa Azam FC hebu tupe matokeo ya wana lambalamba.............kuna ulazima gani hii ligi yetu ikae likizo miezi mitatu. hebu msikilize edward mugogo jr hapa ABOODMSUNI NA SOKA LA BONGO: KUNA SABABU ZIPI ZAKUIFANYA LIGI KUU BARA KUSIMAMA KWA MIEZI 3?
Mkuu ulipotelea wapi? Mechi za leo hamna redio inayotangaza labda walioko uwanjani watujuze la sivyo tusubiri vipindi vya michezo.Wadau wa soka la bongo tuendeleze jukwaa la ligi yetu ya bongo hata kama ni mbaya ni ya kwetu....
mwenye matokeo ya mechi za leo atujuze..............
Mkuu ulipotelea wapi? ....
JKT Oljoro 0 na Kagera Sugar 1
Vibaya sana sijui leo wataambulia nini zidi ya wacho Toto Afrika...Vipi Kesho mtatoka zidi ya vija wanao tisha sana kwasasa vija wa Julio...nilimsikia jana anasema Mungu hawezi akawa kila kitu ahalu wao akawanyima hata ushindi..Uwanja mnao, Pesa mnazo.....hahahaholjoro washaanza kufulia aiseee..
Bado unawaombea kila*la heri kagera sugar?????jamani kitoweo ameshikiliwa na kagera suger bado 1-1 huko taifa,Nawaombea kila *la heri kagera suger
Matokeo ya mwisho ni Simba 3-1 Kagera sugar, Mafisango akifunga mawili na Okwi moja.Tunaomba matokeo ya mwisho ya kagera na simba