Coastal Union 0 na Azam FC 3
Bado 0-0 dk 75updates wadau.....
Kama mwaka jana,tutachukua ubingwa siku ya mwisho,waache watangulie
No thank you!! ubingwa hauangalii timu inacheza vipi..., TFF ndo watapanga wakishirikiana na waamuzi nani apewe ubingwa msimu huu. Si uliona mwaka jana ilivyokuwa..!Watangulie na baiskeli ya miti.