Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Kumbe Yanga wameshinda kwa goli 1: ambalo kwa mjibu wa kocha wa Polisi Dodoma anasema lilikua la utatanishi, kwani limetokea baada ya striker wa Yanga kumnyanga mpira mkononi kipa P.Dodoma na kuutumbukiza wavuni.

siku zote huwa nasema mfa maji haishi kutapatapa sasa weye ulitegemea aseme kalifurahia gol walilofungwa kwani hajipendi/hapendi ajira yake sababu muhimu coz huwa wanatoa ripoti ya mchezo kwa ujumla na reason ya kufungwa
 
Ndo ivo,point 3 kibindoni,samaki huwa harudi reverse!
 
siku zote huwa nasema mfa maji haishi kutapatapa sasa weye ulitegemea aseme kalifurahia gol walilofungwa kwani hajipendi/hapendi ajira yake sababu muhimu coz huwa wanatoa ripoti ya mchezo kwa ujumla na reason ya kufungwa

ni kweli! ni makocha wachache timu zao zikifungwa wakakubali kuwa wamefungwa kihalali...lakini palipo na ukweli uhongo ujitenga.kwa hizi nguvu za soda tusitegemee kwamba timu zetu zitafanya vizuri kwenye mechi za kimataifa.
 
Kunamwimbaji aliimba "toka chini kwenda juu" hivyo ndivyotokea kwa yanga, toka mkiani hadi kutaka kumpokoja simba uongozi
 
Sababu ya kudraw leo inaweza kuwa ni kwa sababu wachezaji watano wa kikosi cha kwanza hawakucheza, lakini kwa waliocheza wamejitahidi maana tulikuwa tushalala.
 
Duh sina hakika kama wewe ni mwana michezo kweli. Kwa hao waliocheza ni wachezaji wa Yanga? Mtatafutana sana mwaka huu lakini Yebo yebo anaendelea kugawa dozi. He who laugh last laughs longer
 
Mkuu lakini si kweli mmetangulia kwa baiskeli ya miti na unaonaje spid ya jamaa hatimaye anawapumulia masikion akitokea mkiani
 
hii spid naona niyakawaida sana, Yanga inapata ushindi wa mashaka kila mara, hivyo sihamini kama si nguvu ya juice mkuu.
 
Duh sina hakika kama wewe ni mwana michezo kweli. Kwa hao waliocheza ni wachezaji wa Yanga? Mtatafutana sana mwaka huu lakini Yebo yebo anaendelea kugawa dozi. He who laugh last laughs longer
Mkuu soma basi kati kati ya mistari, mimi sijasema kama ni wachezaji wa timu nyingine, nilichosema wachezaji watano wa kikosi cha kwanza (Said Cholo, Victor Costar, Jerry Santo, Amir Maftah na Emmanuel Okwi) hawakucheza leo sasa na huo ukweli huutaki nao, mmefurahi utafikiri mnaongoza ligi, leo penyewe mmeshinda kimagumashi.
 
hii spid naona niyakawaida sana, Yanga inapata ushindi wa mashaka kila mara, hivyo sihamini kama si nguvu ya juice
mkuu.
This is too low mkuu...

Huyu sio mtaalamu PrN-kazi ninayemfahamu......Ina maana ushindi wa Simba tu ndio hauna mashaka wa Yanga tu ndio una mashaka......
Ina maana hata ushindi wa Yanga wa bao 1-0 dhidi ya Simba ulikuwa na mashaka?.....

Tatizo lililopo Tanzania ni makocha ama viongozi wa timu zinaposhindwa kutokubali kushindwa na badala yake siku zote kupeleka lawama zao kwa marefa.......Ni sawa na leo Moro United hawayakubali magoli mawili ya Simba,la pili na la tatu,wanadai si halali eti Simba wampewa....Hali hii mpaka lini lakini?......

Binafsi naona Simba kuna tatizo.....Tena kuna tatizo kubwa sana kuanzia benchi la ufundi,wachezaji mpaka viongozi.....Thank God ligi itasimama kwa ajili ya kusubiri raudi ya pili,ni vema mkaitumia nafasi hii kuyatatua matatizo haya maana yasipotatuliwa hali itakuwa mbaya zaidi hivyo kuvuruga matarajio ya timu ya kutwaa ubingwa........Halii hii inaweza kuleta mtafaruku mkubwa sana ndani ya Simba.....Viongozi wa Simba wasifanye makosa kwa kumfukuza Moses Basena,huyu ni kocha mzuri sana na kwa hakika ameibadilisha sana Simba kimchezo,Simba inacheza soka la kuvutia sana ukilinganisha na Yanga ile ya Sam Timbe,kwangu mimi Basena ni zaidi ya Timbe sema Timbe ana ngekewa tu ya mafanikio.....

Kwa kweli nawapongeza sana Yanga kwa come back waliyoifanya kiasi cha kuwa tofauti ya moja na vinara wa ligi hiyo Simba maana kuna kipindi Yanga walikuwa wanashika nafasi ya pili toka mkiani na Simba walikuwa kileleni kwa pointi nyingi tu lakini Yanga waliweza kubadilika na mpaka mwisho wa raundi ya kwanza wanashika nafasi ya pili kwa tofauti ya pointi moja na vinara Simba.......

Nawatakia maandalizi mazuri kabisa kwa ajili ya raundi ya pili.....

Bala.
 
mmefurahi utafikiri mnaongoza ligi, leo penyewe mmeshinda kimagumashi.
Maneno ya mkosaji?......Na jumamosi ya tarehe 29/10/2011 tulishindaje?

Moro Utd wanalalamikia magoli yenu pia mtani....
 
Goli lenu lilikuwa halali lakini sisi tulinyimwa penati Okwi aliangushwa ndani ya 18 halafu badala ya penati ikapigwa faulo nje ya 18, jana polisi wamefunga goli zuri refa kalikataa, Asamoa kanyang'anya mpira mikononi mwa golikipa na kusukumiza wavuni likahesabiwa goli. hayo ya kwetu ya jana nilimsikia kocha wa Moro anasema hajafurahishwa na matokeo kwa sababu walikuwa wanaongoza zaidi ya goli mbili na come back ya Simba hadi kusawazisha na kulikuwa na nafasi ya kuongeza goli la nne basi haikutokea lakini aliwasifu wachezaji wake kwani ni wachanga na wengi wao walikuwa wanawasikia Boban, Sunzu, Kaseja lakini jana wamecheza nao.
 
Mkuu punguza unazi utakuja kufa kwa presha,umeshapumuliwa kisogoni.
 
Mkuu unazi sio kwangu tu, wewe mwenyewe hapo ni mnazi mabandiko yako tu yanadhihirisha hilo, hata hivyo pamoja na mbeleko lakini mnabebeka hongereni kwa kutukaribia na kubakisha pointi moja.
 
Back
Top Bottom