Kombo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,812
- 511
mbona hukufanya juzi kati yebo yebo
Ha ha ha haaaa! Nilikuwa na kazi maalum.
mbona hukufanya juzi kati yebo yebo
Ft moro utd 3-simba 3
ya ukweli hiyoHa ha ha haaaa! Nilikuwa na kazi maalum.
vp yebo yebo?
Ft moro utd 3-simba 3
vp yebo yebo?
Dodoma hakuna wana JF walioshudia mechi wakatujuza!!! au wote ni wapenzi wa Yanga wamechukia Simba kupata pointi moja na kuendelea kukaa kileleni
Dodoma hakuna wana JF walioshudia mechi wakatujuza!!! au wote ni wapenzi wa Yanga wamechukia Simba kupata pointi moja na kuendelea kukaa kileleni
Polisi 0-1 Yangamatokeo ya awali yalikuwa yanga 1, police 0 ss cjuit gem imeishaje. Mwenye matokeo ya viwanja vingine plz
Polisi 0-1 Yanga
Moro 3-3 Simba
Toto 1-1 Azam
Ruvu Shooting 1-1 Jkt Ruvu
Mtibwa naye katoa draw mbili mbili sijui na nani.
mtibwa katoa droo 2-2 na African lyon, KAGERA NA COASTAL UNION KESHOBasi mnyama kashikwa sharubu sasa ha ha ha
Polisi 0-1 Yanga
Moro 3-3 Simba
Toto 1-1 Azam
Ruvu Shooting 1-1 Jkt Ruvu
Mtibwa 2-2 Africa Lyon.